Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 8,396
- 6,363
Mbunge wa zamani wa jimbo la Muleba Prof Anna Tubaijuka amesema tatizo la machinga halitaisha kwa kutoa amri na kuwafukuza mbali bunge linatakiwa kukaa na kutunga sheria yenye adhabu kwa wateja wanaopenda kununua bidhaa hovyo mabarabarani.
Prof Tibaijuka amesema wamachinga hufuata wateja na kama hamna wateja hutamuona machinga kwenye hilo eneo hivyo serikali lazima ijikite kubadilisha utamaduni wa wanunuzi wawe wananunua kwenye masoko maalumu yalitengwa na siyo kununua hovyo hovyo mabarabarani.
Sera nyingi siyo shirikishi,Sera ambazo siyo shirikishi huwa hazifanikiwi,hahaha! Wahuni! Fulani wanajifungia