Profesa Anna Tibaijuka: Kumaliza tatizo la machinga kuwe na adhabu iwekwe kwa wanaonunua ovyo barabarani

Ifike mahali maamuzi magumu yawe yanafanyika kuweka good precedent na sio kujifanya kuhurumia watu wasiofata taratibu maana nchi hii unafiki na siasa ni janga kubwa sana, na hii machinga watu wanatumia hisia wahurumiwe mbona wakulima wanaozalisha chakula kinachotumika Dar hawahurumiwi why machinga politicizing kama wao ni special group wanaohitaji favor tu.
Tibaijuka ana exposure kubwa kuliko wengi humu loh na sio kushambulia eti kajifikiria yeye
Ni mtazamo tu nimepanua wigo wa fikra tu, naheshimu maoni yake.
 
Duh... Halafu ndo Prof huyu? Ndo mana Africa haitoboi km haya ndo mawazo ya maprof wakiafrica

Baada ya kuingia kwenye siasa na uprofesa nao ukamtoka kwani ubongo wake uliacha kufanya kazi!! The political party was thinking on her behalf!!!!
 
Professor yuko sahihi 100%
Bila wanunuzi hakuna biashara.
Nini kifanyike?
1.Machinga wawezeshwe kufanya biashara kwenye supermarkets/shopping malls..."sio barabarani".
2.Wananchi wawezeshwe kuwa na uwezo wa kumudu kupata bidhaa halisi zenye ubora kutoka sehemu zenye hadhi "sio barabarani"📌🐜
 
Kauli ya hovyo kabisa! Halafu eti huyo ni professor?!

Wamachinga wengi wako sehemu ambazo watu wanapita mfano maeneo ya “waenda kwa miguu” sasa huyu mama anataka polisi ama mgambo wakae pembeni ya hao machinga kuvizia watu wanaopita na kununua bidhaa za hao wamachinga? Akili ya wapi hii? Tena anasema bunge likae na kutunga sheria.

Kama huyu mama ndiyo yule aliyekana kupewa pesa na Rugemalila, basi nina wasiwasi huenda amechanganyikiwa tayari akili yake haiko sawa.

Huwezi kuwakamata hao endapo wamachinga watakuwa wameondolewa, inaonyesha anataka wabakie halafu wanunuzi ndiyo waanze kuviziwa wakinunua wakamatwe. Duh!
Mabilioni anaita hela ya mboga !! Shamba la Babu !!!
 
Professor yuko sahihi 100%
Bila wanunuzi hakuna biashara.
Nini kifanyike?
1.Machinga wawezeshwe kufanya biashara kwenye supermarkets/shopping malls..."sio barabarani".
2.Wananchi wawezeshwe kuwa na uwezo wa kumudu kupata bidhaa halisi zenye ubora kutoka sehemu zenye hadhi "sio barabarani"📌🐜
Watu wanafuata urahisi wa bei za bidhaa !! Aliyeshiba hamjui mwenye njaa, Kwanza watengenezewe hizo sehemu zenye hadhi basi,
 
Mtu ukizeeka Kama mama Tibaijuka Ni vizuri kutulia ulee wajukuu Kama huna katafute vituo vya yatima Mungu akusamehe madhambi ya kifisadi uende mbinguni sababu muda uliobakiza duniani ni mchache kuliko maisha ulioishi duniani
Tatizo lile lile la watanzania la miaka yote, kushindwa kuelewa halafu wanazidi kupotosha lengo la mlengwa.
 
Back
Top Bottom