Kuna profesa mmoja pale Mlimani, alikuwa baada ya kumaliza lecture, anaongozana na wanafunzi kuelekea lunch kwa mama ntilie. Sasa nasikia wanaitwa mama lishe.
Akifika huko, mama ntilie anamuuliza,, "prof utakula nini leo?"
Prof anajibu, « kama kawaida, nipatie chama chetu. »
Mama ntilie, anacheka na kumwambia, « prof. huachi visa vyako. »
Wanafunzi pia wanamshangaa prof.
Halafu, wanafunzi wanaona, prof analetewa, Chai, Chapati na Mahalage! "(ccm)"
Kikifika mezani, prof anasema ," Kidumuuu!"
Halafu anaanza kula.
Vijana hawana mbavu! teh, teh, teh, ,kwi,kwi, kwi, kwe , kwe ,kwe.
Wanasema, "Aisee, Prof bwana!"