Anamwambia Prof. 'mimi ni demu tena wa kidatocha nne nimekutiisha wewe dume profeseri wa kimataifa, na ukileta fyoko... uliza mke wa marehemu huko iringa kazi zetu...'
Me nashangaa polisi wetu wanapenda sifa kupitia upinzani, wamemdhalilisha prof sana
kwa elimu yake ya form 4 anaona amefanikiwa kumweka prof chini ya ulinzi
Huyu Mwanamke (aliyebeba gobori) mbona yuko "ki-shari" zaidi?
kaenda kuongeza nguvu...ffu walizidiwa madai yao
Hapo Lipumba anaona sifa kweli ...!
Watanzania tutaishia kulialia siku zote lakin haya yote yapo ndan ya uwezo wetu. Tatizo sis ni waoga sana. Hvi chukulia tukaandamana nchi nzima polis gani atathubutu kurusha bom?
Au tukaandamana na watoto tukawatanguliza hivi ni polis gani atathubutu kurusha bom?
Hivi tukiamua kufanya maandamano kama yale ya vimbag nani atathubutu kuvurumusha risasi?