Prof akipagawa!!!

Prof akipagawa!!!

kivyako

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
14,341
Reaction score
12,068
Mihemko haijalishi elimu aliyonayo mtu, siasa ni kama mambo ya simba ya yanga! Prof akipagawishwa na ujio wa Zitto ndani ya ACT.
 

Attachments

  • 1427020351739.jpg
    1427020351739.jpg
    79.3 KB · Views: 614
Inakuwaje huyu Prof. anapiga siasa na bado anaendelea kuwa mwajiriwa wa serikali - chuo kikuu cha Dsm?
 
Zito aliaza fujo na dharau?????? ameenda huko tupo tinaomfaham zito ni member wa ccm akiwa kwenye chadema so now act
 
Back
Top Bottom