sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,032
Yani naona maproducer wa siku hizi wana baraka ya vifaa vipya, software kali, internet, n.k ila nashindwa kujua ni wapi wanakosea kwenye mixing.
sikuhizi hakuna hajuba ushirikiano, biti zima linagongwa na mtu moja na mixing nzima na huyo huyo tofauti na zamani hadi ngoma imekamilika hata kama ni kwa p funk basi wamehusika watu wasiopungua watatu, nakumbuka lile gitaa la she got a gwyne lilicharazwa na mzungu kichaa.
kitu kingine elimu ya uandaaji wa mziki ni ya hovyo sana wanayoipata producers wa siku hizi, yaani kina p walisomea darasani hivi vitu kwa miaka miwili huko uholanzi walijua wanachofanya, sasa sikuhizi mtu kajua tu kutengeneza biti la singeli anajiona youtube ukija kwenye mixing ndio anaharibu kabisa
sikiliza kitu hiki, yani vocal na beat vipo sawa