Producers wa sasa uchwara, nipe wimbo wowote unaosokilozika vizuri (mixing) kama hii ya P Funk

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
42,790
2,000
Binafdi siamini kama hilo biti katengeneza mwenyewe bila kukopi.

Laizer mabiti yake ORIGINAL ni yale yenye kelele kama hili.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣 huenda kuna namna mkuu, kiukweli Laizer ni mzee wa beat za kuchakaza ngoma ya sikio. Sasa ile hallelujah usikute kaweka Tag tu.
 

mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
29,280
2,000
Ni kweli hujasema mkuu ila angalia mtu uliyemquote alikuwa anaongelea hoja gani?

Alafu mkuu kama ulikuwa hauna Tatzo na sampling mbona umetumia Neno "ugoro" kwenye andiko lako?
Hilo neno Ugoro lilikua limeandikwa na jamaa niliyem-quote mkuu ndio maana nikaweka " " mkuu.
 

Ngareroo

JF-Expert Member
Aug 11, 2019
1,928
2,000
Laizer mtoe kabisa kwenye hio equation. Nyimbo zake hazina uwiano kuna zenye makelele huku zingine zinasikilizika.

Ukitaka kujua producer anabahatisha kwenye mixing ni hapo tu.
Mfano nyimbo ya "Eneka" ya Diamond iko overpowered. Yani jamaa sijui huwa anafanya pre-amplification zaidi akiwa kwenye mixing. Nyimbo za Laizer nyingi naona zina ukelele mkubwa yani vocal na beats huwa haviko kwenye harmony halafu kuna zenye sauti kali kuzidi nyengine hazina uwiano na utofauti ni noticeable. Lazma uwe na Equalizer uichezeshe kila nyimbo maana bila hivyo ear fatigue inakupata haraka.

Sasa chukua nyimbo za majani kama umbo namba 8 ya fid Q, Chukua nyimbo ya Rudi nyumbani ya Juma nature, chukua nyimbo ya TID watasema sana ft. Nazizi, chukua nyimbo ya she got a gwan sikiliza nyimbo sehemu tulivu utaona jinsi ambavyo nyimbo zina uwiano wa vocals na beats bila kuwa overpowered. Yani unaweza sikiliza ngoma zote bila kugusa EQ na still ukainjoy.
Sikupingi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom