Producers wa sasa uchwara, nipe wimbo wowote unaosokilozika vizuri (mixing) kama hii ya P Funk

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,014
1586799984048.png

Yani naona maproducer wa siku hizi wana baraka ya vifaa vipya, software kali, internet, n.k ila nashindwa kujua ni wapi wanakosea kwenye mixing.

sikuhizi hakuna hajuba ushirikiano, biti zima linagongwa na mtu moja na mixing nzima na huyo huyo tofauti na zamani hadi ngoma imekamilika hata kama ni kwa p funk basi wamehusika watu wasiopungua watatu, nakumbuka lile gitaa la she got a gwyne lilicharazwa na mzungu kichaa.

kitu kingine elimu ya uandaaji wa mziki ni ya hovyo sana wanayoipata producers wa siku hizi, yaani kina p walisomea darasani hivi vitu kwa miaka miwili huko uholanzi walijua wanachofanya, sasa sikuhizi mtu kajua tu kutengeneza biti la singeli anajiona youtube ukija kwenye mixing ndio anaharibu kabisa

sikiliza kitu hiki, yani vocal na beat vipo sawa
 
Attachments

  • sample .mp3
    1.2 MB · Views: 11
Tatizo nyimbo inatengenezwa na producer mmoja vitu vyote anafanya yy,P Funk nyimbo moja inatengenezwa na watu zaidi ya watatu alafu P Funk anaimalizia.

Ndio maana kwa Majani kulikuwa na akina Lamar,Prof Ludigo,Soggy Doggy ,Hunter ,Duke hawa wote walikuwa wanasaidiana na Majani kutengeneza biti.

Maproducer sasa hivi wanakuwaga wa moto mwanzoni lkn baada ya miaka miwili mitatu wanakuwa wanaishiwa idea na kuanza kurudia idea zile zile za nyuma.

Nikisikiliza Nikusadieje,She got gwan,Zali la Mentali,Hakuna kulala,Mtoto Iddi,aka Mimi,Kibanda cha simu nk biti zake hazijawahi kuchuja kwenye masikio yangu.
 
ni kweli unachoongea, mfano ile she got a gwyne, lile gita alichara mzungu kichaa
 
Yani naona maproducer wa siku hizi wana baraka ya vifaa vipya, software kali, internet, n.k ila nashindwa kujua ni wapi wanakosea kwenye mixing.

sikiliza kitu hiki, yani vocal na beat vipo sawa
Siku hizi kwenye industry kuna ubinfsi mwingi sana. Na hii inatokea kwa sababu moja ya watu kuogopa kupitwa. Ukienda sehemu kama abbah music, kuna producers wanne na wamegawana majukumu kuhakikisha mambo yanaenda. Ila hii itikadi ya mtu mmoja kufanya kila kitu na kuliamini sikio lake peke yake ndio inasababisha mambo kama haya.
Sababu nyingine ni ulimbukeni wa wasanii kuamini jina la producer kuliko kazi yenyewe. Ilishatokea mara nyingi msanii kufanya nae kazi halafu aipeleke kwa producer mwenye jina na yeye kuirudia(actually kuisample) upya kuepuka ugomvi.
 
2010743_John_Mjema_feat_Mez_B_Simba_Mission_Town.mp3
 
Attachments

  • 2010743_John_Mjema_feat_Mez_B_Simba_Mission_Town.mp3
    3.4 MB · Views: 4
2028094_Ngwea_-__Geto_Langu.mp3
 
Attachments

  • 2028094_Ngwea_-__Geto_Langu.mp3
    2.1 MB · Views: 2
S2kizzy baby..hahahaha

Kuna dogo anatumia ID ya "the mixkiller" naona kwenye nyimbo nyingi za sasa yupo..sasa sijui ndo mtabe wa mixing au vipi?

Incase you don't know ya Jux ni wimbo wa kipindi hiki nilioelewa mixing yake
 
Hiv aliyetengeneza Niteke ya Maua sama ni Nani? ile mix ipo bomba Sana.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom