mandator aktritky
New Member
- Jan 10, 2020
- 3
- 1
Jamani ndugu zangu naomba mnisaidie mwenye uelewa na hii course ya procurement kama bado Ina soko au nibadilishe nisome accountancy.
Hakuna kozi icyo na soko ndio maana znafundishwa kila cku kwa maana bado znauhitaji wa watu....UJUMBE WANGU ni huu soma TAFUTA CONNECTION narudia tena TAFUTA CONNECTION narudia tena SOKO LA KOZI NI CONNECTION utakuja nikumbuka cku za mbelen nshamaliza na kwaherJamani ndugu zangu naomba mnisaidie mwenye uelewa na hii course ya procurement kama bado Ina soko au nibadilishe nisome accountancy.
Umemaliza kila kitu 👏👏Hakuna kozi icyo na soko ndio maana znafundishwa kila cku kwa maana bado znauhitaji wa watu....UJUMBE WANGU ni huu soma TAFUTA CONNECTION narudia tena TAFUTA CONNECTION narudia tena SOKO LA KOZI NI CONNECTION utakuja nikumbuka cku za mbelen nshamaliza na kwaher
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Zingatia ushauri wa wadau hapo juu mimi nimehitimu hiyo kozi 2016 bado nasugua benchi....kila la kheirJamani ndugu zangu naomba mnisaidie mwenye uelewa na hii course ya procurement kama bado Ina soko au nibadilishe nisome accountancy.
DuuuZingatia ushauri wa wadau hapo juu mimi nimehitimu hiyo kozi 2016 bado nasugua benchi....kila la kheir
Umemaliza majibu yoteHakuna kozi icyo na soko ndio maana znafundishwa kila cku kwa maana bado znauhitaji wa watu....UJUMBE WANGU ni huu soma TAFUTA CONNECTION narudia tena TAFUTA CONNECTION narudia tena SOKO LA KOZI NI CONNECTION utakuja nikumbuka cku za mbelen nshamaliza na kwaher
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app