Procurement and supply | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Procurement and supply

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mily, Aug 12, 2012.

 1. M

  Mily New Member

  #1
  Aug 12, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wapendwa eti kwenye course ya procurement kuna mahesabu
   
 2. king kan

  king kan JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 715
  Trophy Points: 280
  Hesabu zipo ila stock analysing maths rahisi asiogope.
   
 3. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  zipoo mimi mwenyewe nimeichagua iyo palee muccobs
   
 4. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  duhuuu yan unakimbia hesabu maana sikuelew!! kama ukiambiwa ipo hautasoma au???
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  asa ulikua unaponda mie nimechaguliwa udsm,kumbe we mwenyewe umechagua vyuo vya kata?
   
 6. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  perry,o-level nilikuwa na i.11,form6 tena one, so ivii udsm wanatoa kozi ya ba-psm,nakwambia mim ni kipaji originaal
   
 7. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #7
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  sio siri wewe ni mtu nlikua namwamin sana hapa jamvin...ila hapo kwenye red pamenipotezea iman na wewe...sijafurahishwa na hayo maneno(naiman pia wengi hawajafurahishwa nayo),ukiwa unachangia jali na wengine(usiwakwaze),kumbuka sio kila mtu anayekosa ud hayuko poa..kuna koz zipo kwengine na hapo ud hamna mfano petrolium engineering,survey na architecture hata kilmo(agriculture)....SO WATU KUCHAGUA VYUO VINGINE(UNAVYO VIITA VYA KATA) SI KWAMBA HATUWEZ SOMA UD ILA TUTAKACHO HAKIPO HAPO UNAPAITA UDSM...so fikiri kwanza kabla ya kuropoka na jali wengine pia(usiwakwaze kwa maneno yako).......
   
 8. Z

  ZeRo zero sEven Member

  #8
  Aug 12, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu kausha. Ujue tumeumbwa tofauti.. Hivyo ni kumchukulia poa. #japokuwa na mimi imeniuma,
   
 9. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #9
  Aug 12, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Lordville,hapo umenena kakaa
   
 10. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #10
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  sio hivyo mkuu unajua hawa watu wanaojiona wao ni wao kwenye hii dunia wanakera sana kuna watu wakipata hayo maneno hawatosoma tena(kwa kujiona hawataweza) kwa sababu ya mtu mmoja,sasa huon hao watu wakiyapata haya maneno atakua amewaharibia malengo yao??!! ifike sehem tumwogope mungu na kujali wengine...
   
 11. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #11
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hesabu kibao tu,njoo nikupe matirio
   
 12. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  mkuu lordville na wengne niliowakwaza isipokua mpigamsuli,naomba kufuta kauli yangu.nlitaka 2 mpga msuli nae aumie roho kidogo,maana nae jana alinikwaza sana kwa kauli yake chafu alyoitoa kuhusu chuo nlichochaguliwa mimi.samahanin wote nilio wauzi jaman icpokua mpgamsuli.
   
 13. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #13
  Aug 12, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  yani mpigamsuli kaitingisha jf ilembaya
   
 14. July Fourth

  July Fourth JF-Expert Member

  #14
  Aug 12, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 2,288
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  hapo sasa ndo umenena perry. Mia
   
 15. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #15
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  nahiii ndo maana ya GREAT THINKERS...na iwe ivo daima...
   
 16. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #16
  Aug 13, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,892
  Likes Received: 4,744
  Trophy Points: 280
  Nilitaka nidrop some bars hapa nadhani ningebanikwa na mods, ha ha ha ha hah watu walishaanza kutokwa na povu.
   
Loading...