Procurement and Supplies Professionals and technicians Board zamani NBMM

ksimba1606

Member
Aug 15, 2011
19
9
Msaada wadau kama kuna anaeweza kunisaidia ili nipate Material ya Profesional Stage I & II, pia wapi naweza kupata vitabu! au msaada hata wa kusoma pamoja kwa wale wanaofanya pepa za Novemba!!
 
Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Jul 14, 2009
2,090
824
Msaada wadau kama kuna anaeweza kunisaidia ili nipate Material ya Profesional Stage I & II, pia wapi naweza kupata vitabu! au msaada hata wa kusoma pamoja kwa wale wanaofanya pepa za Novemba!!
wakuu habari kwenu kama post ya mdau inavyojieleza yeyote mwenye kunisaidia Materials ya profesional stage I .. au maeneo rahisi yakupata hapa arusha nilijaribu kwenda IAA sikupata ushirikiano . maana nataka nifanye MITIHANI hii ya bodi PSPTB (PROCUREMENT AND SUPPLIES PROSSIONALS AND TECHICIANS BOARD ) mwezi MAY na course content ya STAGE HII ni I)PROCUREMENT MANAGEMENT II)MANAGERIAL ECONOMICS III)MANAGEMENT PRINCIPLE AND PRACTICE IV)LEGAL ASPECTS OF PROCUREMENT
 
Mbugi

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,489
256

fanya mnitumie email zenu, email yangu ni publicsectoraccounting@yahoo.com ili niweze kutoa mchango wangu kwenu kwa material nilizonazo ktk kufanya mitihani hiyo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Top Bottom