Manteeq
Member
- Dec 5, 2011
- 14
- 6
Mambo vp wadau? Ebwana na mpango wa kuanza ujenzi wa nyumba ya gorofa, tatizo naambiwa kuwa ili kujenga nyumba ya gorofa, kuna utaratibu wa kufuata ili kupata kibali, kwamba kuna ishu ya ramani yangu ya nyumba kuipeleka wizara ya ardhi kukaguliwa na procedure nyingine kibao.
Ningependa kujua kama hizi procedure ni zipo kweli, kama ni za lazima au la, na more importantly ni hizo procedure zenyewe ili nijue nianzie wapi na niishie wapi. Website ya wizara ya ardhi haisaidii kabisaa, haina hata information za maana, email nazo zinagoma kwenda na nipo tight kazini kusema kwenda hapo wizarani.
Any help i 'll really appreciate, thanks