Problem with NIMBUZZ....

Problem with NIMBUZZ....

KikulachoChako

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
20,142
Reaction score
40,902
Salaam wakuu...ninatumia nokia E51..kwenye simu yangu kila nikidownload application ya NIMBUZZ na niki create akaunti inakataa..nimeselect country fresh..kazi nikiweka namba inaniambia kuwa mobile number not valid....msaada wandugu..nataka kutumia NIMBUZZ
 
kuna baadhi ya mitandao wanajua namba za tz ni 07 yaani iwe +255754*****

hebu test kuregister na no ya 07
 
Back
Top Bottom