Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,445
Binadamu katika masiha yetu kila siku Iwe ni maofisini au nyumbani , Iwe ni kwenye mahusiano ya mpenzi siasa, uchumi, michezo etc tunakutana na matatizo yanayohitaji kutatuliwa. Matatizo Mengine ni mepesi sababu ni routine ( Yanajirudia rudia ) hivyo tunajua nini tufanye na mengine ni magumu sababu tunakutana nayo mara ya kwanza.
Problem solving ni jambo au changamoto anakutana nalo kila mtu . mwanafunzi shuleni, Rais, waziri Mkuu, Programmer, acountant, mwanasheria,Dereva na hata kichaa. teh teh teh
Sasa swali au changamoto je
Tunaweza tukawa hatutiliii maanani sana hatua tunazopitia kutatua matatizo lakini ni vema tuzijue.
Picha hapa chini ni summary ya hatua za kuttua matatizo( Problem Solving) . japo inatumika zaidi zaidi kwenye mambo ya ICT ni njia inaweza kutoa mwongozo wa kutatua mamtiz mengi ya fani mbali mbali
Watu wa wa IT wana njia nyingine amabyo wananatumia kugundua tatizo halisi kwenye shirika na kupendekeza njia sahihi ya kulitatua. Njia hii inatwa system analysis and design.
Katika IT system analysis and design kuna njia mbai mbali amabzo mtaalam anaweza kuchagua atumie ipi kugundua tatizo na kupendekeza suluisho . baadhi ya njia hizo ni kama System Development like Cycle( SDLC). Rapid Application Development( RAD), SSADM, Agile , etc
:becky::becky::becky:
Chapisho hili ni makala iliyochakachuliwa kutoka The stages of problem solving na Problem Solving Skills

- tunatumia njia gani kutatua matatizo ?
- Ni hatua zipi unapitia toka mwanzo wa tatizo mpaka mwisho wake?
Tunaweza tukawa hatutiliii maanani sana hatua tunazopitia kutatua matatizo lakini ni vema tuzijue.
Picha hapa chini ni summary ya hatua za kuttua matatizo( Problem Solving) . japo inatumika zaidi zaidi kwenye mambo ya ICT ni njia inaweza kutoa mwongozo wa kutatua mamtiz mengi ya fani mbali mbali
Watu wa wa IT wana njia nyingine amabyo wananatumia kugundua tatizo halisi kwenye shirika na kupendekeza njia sahihi ya kulitatua. Njia hii inatwa system analysis and design.
Katika IT system analysis and design kuna njia mbai mbali amabzo mtaalam anaweza kuchagua atumie ipi kugundua tatizo na kupendekeza suluisho . baadhi ya njia hizo ni kama System Development like Cycle( SDLC). Rapid Application Development( RAD), SSADM, Agile , etc
- Je wanateknolojia na wadau wa fani mbali mbali mnatumia methodlogy gani kutatua matatizo mnayokumbana nayo yawe madogo au makubwa