Problem solved ,viagra ya wanawake iko njiani

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,475
Reaction score
21,046
[h=1]Marekani kuidhinisha 'viagra ya wanawake'[/h]
picha ya viagra ya wanawake

Jopo la serikali ya Marekani limewaagiza wasanifu kuidhinisha dawa ya kutibu hamu ya kiwango cha chini ya ngono miongoni mwa wanawake inayojulikana kama ''Female Viagra''.
Wataalam wameiunga mkono dawa hiyo ya Flibarenserin lakini wakasema lazima iwe na onyo la viwango vya juu vya athari zake ikiwemo kuzimia na uchovu.
Uamuzi wa mwisho sasa unaelekea kwa mamlaka inayosimamia chakula na dawa nchini Mareiani FDA.
Mamlaka hiyo imeikataa dawa hiyo mara mbili tangu mwaka 2010 lakini husikiza sana ushauri kutoka kwa wataalam wake.
Wanawake wanaotumia dawa hiyo wameripoti hamu zaidi ya kufanya tendo la ngono,matokeo ambayo wataalamu wanakiri ni ya kawaida.
''Lakini kwa upande mwengine ,matokeo ya kawaida yanaweza kusababisha tofauti kubwa iwapo mtumiaji yuko katika hatua fulani za ukaguzi'',alisema daktari Julia Heiman wa taasisi ya Kinsey katika chuo kikuu cha Indiana.

source:Marekani kuidhinisha 'viagra ya wanawake' - BBC Swahili

NB:Kwa huu ukosefu wa ajira bongo naitafuta itanilipa tu kwa kufanya biashara,ngoja nisikilizie kwanza ,kwa wale ambao lipido liko chini au wanaumia hawana hisia kabisa watakua wateja wangu tu, na hata wewe ambaye uko normal ukitaka kumkomoa jamaa yako ili kila anapoondoka home asitamani tena ,yaani hata joint za mshikaji zinakua hazina nguvu utakua mteja wangu pia
 
Mwanamke anaweza kuhitaji na viagra kumbe? Nimepitwa sana
 
Kwani mkuu mwekundu hizo makitu si zipo kitambo tuu? Kuna hizi dawa za libido zinatofautiana na hizo walizogundua kwa sasa? Zipo kama Dragon fly, Gang bang, sexy lady, powerlady na zingine nyingi ambazo huwapa nguvu na hamu wanawake ya kufanya tendo la ndoa kwa wale waliopungukiwa au hawana hamu kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Huu ni msala, saivi tu wanalia 'hawafiki', wakiongeza na hizo vitu sasa si tutauana?
 
nilikua sijui mkuu ,nashukuru kwa ku share knowledge
 
Walete na vifaa vya kutusaidia mana wanaume wa Rombo wanaongezeka sana Tanzania hii
 
.....

.....niliwahi kukutana na binadamu kameza hiyo kitu duuuhh yaani kama umebebeshwa katapila !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…