verses fountain
Senior Member
- Sep 30, 2018
- 155
- 195
Money heist the best series kwangu coz wametumia akili sana kulinganisha na prison break....ProfessorKama kichwa cha thread hapo juu kinavyosema
Ipi series nzuri hapo juu kuanzia uhusika mpaka series yenyewe ipi ni nzuri hasa zaidi tukiwazungumzia wahusika wakuu PRISON BREAK unamkuta Michael Scorfield na huku katika Money Heist unamkuta Sergio Marquina au Profesa
Japo kila mtu alikuwa na mission tofauti mmoja alikuwa anataka kutoroka katika magereza yenye ulinzi mkali kwa Prison Break na wa Money Heist alikuwa anacheza na askari kibao ili aweze kubaki mule ndani ili aweze kuendelea kutengeneza na afanikiwe kuwakimbia
Prison Break kuna kina Mahone,T~Bag,Sara na wengine.
Money Heist kuna kina Berlin,Moscow,Tokyo,Rio na Demu ninayempenda namsubiri aje bongo nimtongoze Nairobi.
Hakikisha umeangalia zote vizuri ila Money Heist hata ukiishia season ya pili.
N:B Muda mwingine tufurahie kwa kujadili vitu vyepesi na siyo kujiumiza kwa siasa za Tanzania zisizoeleweka
hamna kitu hapo.. yaani kuiba hela bank anakaa mwaka mzima benki.... halafu full kutianatiana tuWe ndo umeongea ukweli mtupu,naimalizia ya S02 hapa,naona blah blah blah
Sent using Jamii Forums mobile app
breaking bad umeiona?
Huwa sibadiliki.
Hakuna!! Hakuna!!
Naam, ni mimi.Kumbe we mshikaji ulikua unajiita Santino
Mpaka sasa sijaona Series ya mission zaidi ya Prison Break[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Achana na scofield yule mjinga balaa
Ujui kitu unaangilia mradi umeangalia tu.. karudie upya tena hutojutaKiboo..zotee mbayaaa..niliangalia hiyo break prison nikawa nasinzia tu..hiyo nyingine kama ndio itakuwa na madhui ya prison break nayo itakuwa mulemule
Singejali kabisa mkuu tatizo nitakupatiaje?Mkuu samahani je naweza kuzipata hizi series kama hutajali. Please iwe yes✌️✌️
Mkuu ndio ukaninyima series 😞😞Ninazo nyingi lakini pia huwa nazifuta. Kwa uchache nilizonazo ni;
Hostage
Ingobernable
Money heist
Suburra
The last ship
American odyssey
Ballers
Agent x us
Tyrant
Homeland
Power
Monkeys
Being mary jane
If loving you is wrong
Bates motel
Beauty and the beast na nyingine kadhaa.
Nipe list yako.
Blacklist kawaida sanhizo zote dropedown kubwa kuliko ni blacklist