Prison Break vs Money Heist

Money Heist season 1 ni Kiboko, season zilizofuata zote zilitembelea utamu wa ya kwanza....Pedro Alonso A.K.A Berlin kifo chake kilinifanya nipoteze appetite ya Money Heist...Prison Break ilikua ni Moto mpaka walipotoa uchafu wa mwisho wa kuizika mahala pema
 
hebu tusifananishe PB na vitu vya Kijinga...

hivi ule upuuzi wa tadero anapojilamba midomo ....aisee
 
LA casa de papel ni nzuri ila sio ya kufananisha na prison break ule moto Wa kuotea mbali akili mingi mingi sana
 
Sijaiangalia hiyo money heist lakini embu ipeni heshima yake PB.
 
Daaaah....HAKUNA KAMA LOST. HUWA SIISAHAU.
 
General nilimpenda kwa mipango yake na order zake... So what are you waiting for!
 

Naomba nifanyie connection basi nipate hizi Series mkuu!

Six na Homeland
 
Michael scofield sio shoga ila anasapoti haki za mashoga watu waelewe hilo, hakuna zaidi ya PB OVER
 
The Blacklist
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…