Ze Paul ze kufa season 5,labda ze Mahone inawezekana japo atakua kashazeeka sana,ze madawa boy, uyo jamaa bila morphine ze no ze kupiga Kazi barabaraaaPaul Kellerman & Alex' Mahone. Bila hawa wahusika PB haiweza kuwa na taste tena.
Usiwe mbishi katazame 24hapa tunazungumzia mbinu mbadala na u-genious wa scofied mhusika mkuu,pia washiriki wenza kama Fernando_sucre pia T-BAG kuna mafunzo zaidi ya burudani
Paul hakufaZe Paul ze kufa season 5,labda ze Mahone inawezekana japo atakua kashazeeka sana,ze madawa boy, uyo jamaa bila morphine ze no ze kupiga Kazi barabaraaa
Afrika hakuna majasusi, isipokuwa kuna magenge ya wanyang'anyi wanaolindana katika kukwapua rasilimali za taifa, kuharibu demokrasia, na kufanya uhalifu wa kila namna.Majasusi wa kiafrika sizan kama wanaubongo kama wa huyo jamaa...
wahusika ndani ya prisonbreak wanaubeba uhusika kulingana na mtiririko wa visa kwani seasson hii imebeba visa vingi na wahusika wamesheheni umahili,kumbuka 2007 iliishia seasson4 mwaka2017 imeachiwa seasson 5 ubora na matukio yanafundisha sanaUsiwe mbishi katazame 24
Paul hakufa
paul kelerman au paul yupi?Labda wafanye twisting,lakini wakati wale jamaa wa Poseidon walipofika kumuua T-berg walimpiga risasi 2,moja mgongo nyingine kichwani,remember??
English Fitz or Percy.......!?. Ni akili kubwa tu ndio waliielewa hii episode .Ortis hatari sana kwenye season Five
Hii season 5 ilikaa kibabe sana ilivoenda kuchezewa yemen.umenena mkuu,KanielOtis aka m.scofield katisha na hapo dhana ya majasusi kuteka mbinu mpya ikiwa watazingatia,ndipo ubora wa prison-break utajulikana
24 ya kiume,ina ukweli..pb ya kivulana..hasa baada ya season 3,pb scofield ana bahati sana dhidi ya securityNgoja nikatafute hiyo 24hrs harafu nitarudi ,na huko prison break nione ipi Ni ipi
Kabisa Jack BauerPrison break ni nzuri sana lakini 24 ni mwisho. Sidhani kama watatoa series kali ya kijasusi kama 24.
Njia zilizotakiwa kutumika kupitia gerezaniEnglish Fitz or Percy.......!?. Ni akili kubwa tu ndio waliielewa hii episode .
English Fitz or Percy.......!?. Ni akili kubwa tu ndio waliielewa hii episode .
Hii episode maiko alipanda kule juu kabisa akawa anaangalia hizo njia 3 English st,Fitz na Pecy. Baada ya kufika kule juu Berick akagundua solfied katoroka hivyo akatoa taarifa polisi. Polisi walipokua wanakuja Michael akawa anaangalia Polisi wanachukua dk ngap kufika gerezani pindi Mfungwa akitoroka? Na hutumia njia zipi..?umenena mkuu,KanielOtis aka m.scofield katisha na hapo dhana ya majasusi kuteka mbinu mpya ikiwa watazingatia,ndipo ubora wa prison-break utajulikana