inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,740
- 22,490
jela za scofield huwa za kibwegebwwge tu..anapata sana uhuru wa kutekeleza mambo yake..hii ndo kitu inanifanya niipende zaidi 24 na kuiona pb ya kivulanaHii episode maiko alipanda kule juu kabisa akawa anaangalia hizo njia 3 English st,Fitz na Pecy. Baada ya kufika kule juu Berick akagundua solfied katoroka hivyo akatoa taarifa polisi. Polisi walipokua wanakuja Michael akawa anaangalia Polisi wanachukua dk ngap kufika gerezani pindi Mfungwa akitoroka? Na hutumia njia zipi..?
Njia walizotumia kati ya hizo ni English na Pecy do Fitz akaconfirm ndo watakayotumia kutoroka.
