Kapo Jr
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 1,000
- 292
Wasalaam;wakuu tujielekeze katika filamu iitwayo prison break ipo katika mtiririko wa season,lakini maudhui yake ni elimu tosha kulingana na mtiririko wa matukio yote ndani ya sinema hizo,kisa cha kwanza season 1,ukionja hapo huachi kuendelea na mtiririko wote hadi season4,ambapo kila episod ina dakika 44.kivutio ni mhusika mkuu Michael scofield akiigiza kwa umahil mkubwa sana na kugusa jamii nzima. Imepita miaka zaidi ya kumi jamaa wakadondosha seasson5 mwaka 2017,ujuzi wa humo ndani huchoki kutazama,kwa ufupi jamaa wanajua sana kuuvaa uhusika!