Mkuu into the badland ntaipata wapi maana kwenye toxic haipowakuu prison break episode ya tatu 3 imetoka jana jumatano ni nomaa cna mwarabu michael ni shida pia into the badland episode ya 5 imetoka jumanne.u cnt stop sunny aisee hatari sana
toxic ipo.angalia vzr.km vipi cheki Tvshows4mobile.comMkuu into the badland ntaipata wapi maana kwenye toxic haipo
Ok ngoja nijaribu mkuutoxic ipo.angalia vzr.km vipi cheki Tvshows4mobile.com
Iko episode ya 7 huyu anatuletea hizi taarifa yuko nyuma sana.Mbona update imepoa ghafla??
mike anatekwa akiwa nyumbani kwa rafiki wa mamake , Michael keshakutana na sara ugiriki na amemwelezea sara kwamba anaishi na CIA Jacob ambaye alimuua mkurugenzi wa CIA na kumfix Scofield.Sara anarudi marekani na tayari kumeanza mgogoro na Jacob.Mbona update imepoa ghafla??
mike anatekwa akiwa nyumbani kwa rafiki wa mamake , Michael keshakutana na sara ugiriki na amemwelezea sara kwamba anaishi na CIA Jacob ambaye alimuua mkurugenzi wa CIA na kumfix Scofield.Sara anarudi marekani na tayari kumeanza mgogoro na Jacob.
Michael na linc wanafanikiwa kupata meli ya kuwapeleka states na wakiwa njiani seal wanatumwa kuja kumkamata Michael.Inashindikana na baada ya hapo wanaamua kuipiga Bomu meli yote ili wamuue Michael kwa Bahati nzuri Michael , linc na sucrewanafanikiwa kuruka baharini.
Itaendelea....
eztv very class .download uttorent chagua kuanzia seeds 900 ni zaidi ya HD. EnjoyTatizo zina Low Quality aisee nimezi download Quality yake ni Mbovu sana ngoja nitaangalia kwenye TS HD Quality
Ukitaka kufurahia opt kudownload kuanzia mb 800 full HD[Prison Break - Season 05 - Episode 03 - TvShows4Mobile.Com] [Prison Break - S05E03 (TvShows4Mobile.Com).mp4] is good,have a look at it!
Shusha hapo ni mb72 tu episode ya 3 season5
eztv.ag search prison break, chukua HDTV 250-300MB ni zaidi ya HD, ukimaliza njoo useme Ahsante kakaTatizo zina Low Quality aisee nimezi download Quality yake ni Mbovu sana ngoja nitaangalia kwenye TS HD Quality
eztv.ag search prison break, chukua HDTV 250-300MB ni zaidi ya HD, ukimaliza njoo useme Ahsante kaka
Wamemaliza vizur sana kwa kwel nmependaNaangalia episode ya 9 hapa iliyotoka jana
Nadhan waandaaji wa hii kitu wanatumia akili nying sana kukwepesha matukio yasigongane na kuweka usawa lazima mmoja awe mjanja kwa mwenzakeHii ya tisa ni kali kinyma kwanz akili ya Michael sio yakitot
Ya kitu gan??Mie nipo epsod ya 14 vip mwendelezo ushatoka