Prisca ananitisha

Prisca ananitisha

Wakuu hali zenu,

Kama mwezi mmoja uliopita nimeanza kufuata nyuki na nia yangu ni kuchonga mzinga. nyuki wangu ni mzuri ananipendeza lakini kitu kimoja kinanikera.

Mara zote stori zake ni kutunguana tu, mara umenigegeda vizuri, mara utakuja saa ngapi unipe kamoja mara bo.. yako inanikuna vizuri hakuna muda anaongelea mambo ya maendeleo.

Prisca wangu huyu mkilala hata kama huna mood, atapita huku mara kule mara vile mpaka ule ndipo alaleee, sijafikia hatua ya kuomba poo but maisha ya kunukizana jasho tu akirudi job akinikuta ni game tu.

Jamani mnanishauri nini kuhusu nyuki huyu?

nangu mandokwa!

Na mahindi yamemuotea aso meno
 
Kidole kimoja hakivunji chawa mkuu,najua hujafikia hatua ya kuomba poo ila ukisafiri nishtue hata kwa PM
.
kizuri kula na nduguyo...
 
Imagine, saa saba na dakika 21 mchana anafikiria mambo hayo, jee huyu mtu anafanya kazi au ndiyo hivyo tena?
 
Mpeleke akakatwe antenna yake maana ina'detect sana frequency.
 
Ofisini kwangu kuna nafasi ya kazi.. Njoo PM nikupe mawasiliano ili Prisca awe mfanyakazi mwenzangu, jioni akirudi hoiiiii hatokusumbua tena.

Nb: Elimu sio kigezo
 
​Nimewasikia wakuu... akili zenu nitachanganya na za kwangu... ngoja nikamkute nyuki matata wangu!!!!
 
ukianza kwenda kwa dr mwaka kupandisha cd 4 uje uanzishe na thread eeeh
 
Wakuu hali zenu,

Kama mwezi mmoja uliopita nimeanza kufuata nyuki na nia yangu ni kuchonga mzinga. nyuki wangu ni mzuri ananipendeza lakini kitu kimoja kinanikera.

Mara zote stori zake ni kutunguana tu, mara umenigegeda vizuri, mara utakuja saa ngapi unipe kamoja mara bo.. yako inanikuna vizuri hakuna muda anaongelea mambo ya maendeleo.

Prisca wangu huyu mkilala hata kama huna mood, atapita huku mara kule mara vile mpaka ule ndipo alaleee, sijafikia hatua ya kuomba poo but maisha ya kunukizana jasho tu akirudi job akinikuta ni game tu.

Jamani mnanishauri nini kuhusu nyuki huyu?

nangu mandokwa!

Kama umemzidi umri kwa miaka kama mitano hivi ujue siku za mbele atakutoa knock-out halafu uanze saidiwa
 
Ma cross dongo kama haya ni adim sana then dogo analialia!daaaamh!!!
 
Unalialia nini? Mashine ikipata moto ipoze hakuna jinsi hapo vinginevyo wataanza kukuchapia siku si nyingi ,acha uzembe
 
Fanya mpango tukusaidie bro,Naitafutaga sana iyo chance ila sijaipata,Dah kuna watu wameumbwa duniani wakiwa wanapata raha tu.
 
Wengine tunavaliwa vipensi vya jinsi, pampuch kuipata ni issue ww unalalama ngoja cku mambo yaende kinyume ndyo utajua
 
Back
Top Bottom