Ndiyo ukweli huo mkuu, hiyo kitu ni muhimu sana.Duuuh.. asakuta same
Ha ha haaaaaa, wengine wanatamani wampate wa hivyo
mpige kibuti halafu tafuta demu mwingine ukitaka game panageuka vita kwa mda ndyo unakula mzigo,,,,,
Niunganishe naye nikusaidie usipokuwa na mood🙂
Unataka akuoe wewe??,Acha ushauri mbaya;Kweli wanawake hampendani.