Printer ya EPSON L3110: Ina tatizo la kuwaka kwa ku_blink taa zote.

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
3,601
4,087
Waheshimiwa, PRINTER ya EPSON L3110: Ina tatizo la kuwaka kwa ku_blink taa zote (nyekundu na kijani),

Inaprint vizuri.

Ila haitoi copy wala haiscan.
Na ina miezi mitatu tu tangu inunuliwe.

Naomba mwongozo wa utatuzi wa hili.
 
Back
Top Bottom