Printer gani ni nzuri jamani?

Printer gani ni nzuri jamani?

Rmma

Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
67
Reaction score
5
Nahitaji kununua printer yenye uwezo wa kuprint,kusacan na photocopy.Je,ni aina gani ni nzuri nisaidieni ili nisiingie mkenge.
 
kwa matumizi gani? biashara au ofisinii
 
kama ni kwa matumizi ya nyumbani au ofisini nunua hp 2050 ambayo haizidi laki na nusu, ila kama ni ya biashara nunua hp laserjet series. kiujumla printer za hp zipo poa sana.
 
hp color laserjet ni nzuri sana kwa matumizi ya biashara kwa inkjet nunua epson printer
 
Back
Top Bottom