Printa ya Epson LL220

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
3,643
Reaction score
4,182
Wakuu,

Nataka nipate mashine inayofanya kazi ya i)Kuprint ii)Kuscan & iii)Kutoa copies,

Pia iv)kuprint passport.

Kuna ndugu kaniambia alisikia kuwa Epson LL220 iko vizuri kwa hizo functions.

Naomba mnisaidie maarifa na maboresho,
Pia kwenye suala la upatikanaji na unafuu wa gharama ya wino.
Na yauzwa bei gani Dar es Salaam?

Au kama kuna aina ingine nzuri/bora kwa vigezo hivyo inayopatikana kwa bei nafuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…