‘Principle of collective punishment unacceptable’ – Gorbachev to IOC

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
20,897
63,783
57935195c461885b2d8b45b5.jpg

Former Soviet leader Mikhail Gorbachev has sent a letter to the IOC criticizing its blanket ban on the entire Russian Olympic team. Gorbachev appealed on behalf of clean athletes, saying “the principle of collective punishment is unacceptable.”

“I support the fight against banned substances in sports. It is an evil that needs to be eradicated. Athletes found guilty of using it should be barred from competing,” Gorbachev wrote in a letter to International Olympic Committee (IOC) chair Thomas Bach.

The former president says he is “deeply distressed” that Russians were among those “willing to achieve victory at all costs.” Gorbachev called for serious conclusions to be drawn and an independent investigation leading to appropriate measures to prevent such a situation from occurring in future.

However, Gorbachev also expressed a similar feeling of distress at the prospect of the entire Russian team being disqualified, instead of just the guilty parties.

“To me the principle of collective punishment is unacceptable. It is my belief that it contradicts the very culture of the Olympic movement, founded on the shared principles of rights and humanism.

“I hope you will give serious thought to these arguments and emerge at a just decision,” the ex-president concluded.

Gorbachev’s plea for leniency came amid similar appeals by the sports community and Russian President Vladimir Putin’s call for an impartial investigation.

Source: RT
 
Hahah...mambo ya Revenge without responsibility siyo? Lakini hata Bongo, ina apply sana tu (vicarious Liability) ina sura ya collective punishment...

Heri hata vicarios liability there is a contract and a sort of minimum control: An act is not too remote.
Kwenye collective hawa majamaa wanaadhibu hata watu wasio na uhusiano wowote na lile kosa, so medieval.
 
Heri hata vicarios liability there is a contract and a sort of minimum control: An act is not too remote.
Kwenye collective hawa majamaa wanaadhibu hata watu wasio na uhusiano wowote na lile kosa, so medieval.

Hata Tz tulikuwa na hiyo sheria, (Collective punishment Ordinance before it was amended and thereafter repelled), Nakumbuka Nyalali commission ndo walikuja na mapendekezo ya kufanya marekebisho ya sheria hiyo na baadae kutupiliwa mbali. The Act in itself is so medieval. kwenye practice, collective punishment zipo. Mara nyingi timu za mpira ndo wahanga wa hii kitu. mashabiki wakifanya Fujo, timu ndo inakuwa penalized...Naona kama hii punishment haiwezi kuisha Duniani especially kwenye sport
 
Hata Tz tulikuwa na hiyo sheria, (Collective punishment Ordinance before it was amended and thereafter repelled), Nakumbuka Nyalali commission ndo walikuja na mapendekezo ya kufanya marekebisho ya sheria hiyo na baadae kutupiliwa mbali. The Act in itself is so medieval. kwenye practice, collective punishment zipo. Mara nyingi timu za mpira ndo wahanga wa hii kitu. mashabiki wakifanya Fujo, timu ndo inakuwa penalized...Naona kama hii punishment haiwezi kuisha Duniani especially kwenye sport

Mkuu ukianza kuangalia hata kwenye Penology the whole notion of collective punishments goes against then basic tenets of the theories of punishment.
Its typically known that punishment is justice's concomitant: Yet, we all come to a common ground that reformation rather than retribution and deterrence must be a cause celebre of the whole resolve.
I've got no axe to grind on this but the whole notion of collective punishment be it in real life or sports it awkward and waters down the golden tradition of criminology or individual liability.
 
Heri hata vicarios liability there is a contract and a sort of minimum control: An act is not too remote.
Kwenye collective hawa majamaa wanaadhibu hata watu wasio na uhusiano wowote na lile kosa, so medieval.

Mkuu Malcom hivi ulijaribu kusoma body language ya Seb. Coe wakati anatoa report ya WADA - nilishajua kitakacho fuata - group nzima hiyo inatumiwa na Uncle SAM kisiasa na walifanya makusudi kwa kuleta madai yao yenye shinikizo at the eleventh HOUR baada ya kuona IOC inaweza kukubaliana na ombi la Urusi - repoti imejaa madai mengi ya kutunga wakishirikiana na raia wa Urusi aliye saliti Taifa lake na kukimbilia uhamishoni - kwa watu wastaarabu na wanao jali haki kutendeka ushahidi wa jamaa huyo ulipaswa kutupiliwa mbali kwa uzushi.

Seb Coe na kundi lake la WADA walileta madai hayo yaliyo wekwa chumvi mno ili watu wasipate muda wa kujadiri suala lenyewe wakiwa level headed - walisha pewa mshiko na majangiri hayo basi, wanamtumia Mwingereza huyo kama Sheriff wa kutekeleza malengo yao ya kisiasa dhidi ya Urusi.

Wamerika wana track nzuri gani linapokuja suala la matumizi ya madawa ya kuongeza nguvu - actually wao ndio macheat par excellence kuanzia mpanda baiskeli mshuhuri Duniani one Lance Amstrong katumia madawa miaka nenda rudi na kufanya mbinu za hali ya juu hasitambulike, haya tuje kwa wana riadha Carl Lewis (huyo Lewis baada ya kushindwa na Johnson wa Canada kitu cha kwanza kusema ni kwamba Johnson anatumia madawa kumbe na yeye alijuwa anatumia madawa ambayo kwa wakati huo yalikuwa si rahisi kugundulika - alikuja kubambwa miaka ya baadae kabisa!) ; Joiner na wanariadha wengine wengi walikuwa na tatizo hilo ,je, na hao tuseme FBI,CIA, mawaziri na Marais wote wa Marekani nao walibariki udanganyifu kwa wana riadha wao kutumia madawa ya kuongeza nguvu?

Hapa Serikali ya Obama inasema Serikali nzima ya Urusi na vyombo vyake wanahusika moja kwa moja na sakata zima la madawa - madai ya kitoto kabisa lenye lengo la kudhalilisha viongozi wengine Duniani wanafikiri Dunia awawezi kugunduwa lengo kuu la madai ya Uncle SAM.

Hata masuala ya Blatter wa FIFA lengo lao lilikuwa hilo hilo walitaka Urusi inyanganywe ku- host World Cup kwa kutoa visingizio visivyo na mshiko - wanataka hata kutawala michezo ya Dunia kwa kuingiza siasa - wako obsessed na Urusi wakati mwingine tabia zao unaweza kuzilinganisha na za watoto wa chekechea!!

Tuchukulie mchezo wa mpira kwa mfano: Mchezo huo wala sio native kwa Taifa lao wanalazimisha tu baada ya kugunduwa mchezo huo una-generate fedha nyingi sana kutokana na matangazo ya biashara na uuzaji wa vifaa vya michezo ambavyo kampuni za Ujerumani zinafaidi sana - Dunia nzima inajua michezo ya Wamarekani ni: basket ball, baseball, golf nk, hawana mchezo wa mpira to speak about - usanii tu, bila aibu eti walitaka kutuma kikosi cha FBI kukamata baadhi ya ma-afisa wa FIFA - nani kawapa mamlaka/madaraka ya kuingilia mambo ambayo hayana uhusiano na Serikali ya Obama - wapuuzi kweli kweli,wachonganishi walio kubuhu na roho mbaya.

Wamenikasirisha kweli kweli kuzuia wana riadha wasio na hatia kutoshiriki, walijua wakishiriki medali za kwenda kwao zitapungua - nafikiri huu ni muda muhafaka kwa International Community kukataa kwa kauli moja kwamba masuala ya kuchanganya michezo na siasa sasa basi - wakiendelea na ujinga wao basi siku moja michezo ya Olympic itasambaratika.
 
Back
Top Bottom