Principal wa Arusha Technical College Eng Dr Richard Masika amestaafu?

Principal wa Arusha Technical College Eng Dr Richard Masika amestaafu?

NDESSA

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2013
Posts
1,946
Reaction score
1,800
Kwenye ukurasa wa Facebook wa chuo wameweka picha za matukio mbalimbali ya kumuaga mkuu huyo huku picha hzo zikiwa hazijawekewa maelezo (caption) lakini kuna page za baadhi ya staff wamepost huku wakiweka maelezo ya kumuaga mkuu huyo kwa kifupi.
Je mkuu huyu amestaafu au ni uhamisho?
Dr Masika alihamia ATC mwaka 2009 kama Principal akitokea DIT ambapo alikuwa ni Director wa Academic.Amefanya maendeleo makubwa sana tangu afike Arusha kwani alikuta chuo kikiwa katika hali isiyoridhisha.
Screenshot_2017-10-02-22-50-59.jpg
Screenshot_2017-10-02-22-50-36.jpg
 
Mkuu suala la Taaluma,nidhamu,miundombinu ya chuo na miradi ya mafunzo.
Itaje kwa majina si jumla jumla. Binafsi najua alianzisha mradi fulani wilaya ya hai/siha wa kufua umeme, sijui umefikia wapi, tafadhali usije kutaja kukodisha ukumbi wa chuo kwa ajili ya harusi, kitchen party sijui kominia. Tafadhal taja na wewe hapa
 
Dr. Masika kwa taarifa zilizopo amestaafu na leo nimesikia ameaga wanafunzi pale chuoni, Uongozi wake umeacha alama masika amefanya makubwa sana Arusha Technical amepambana sana mpaka chuo kiko pale we are thanks him so much for his excellency since he joined there 2009, Wen we start to list there what he did, we cant reach the end, Thanks much Dr Richard masika for served Atc
 
Itaje kwa majina si jumla jumla. Binafsi najua alianzisha mradi fulani wilaya ya hai/siha wa kufua umeme, sijui umefikia wapi, tafadhali usije kutaja kukodisha ukumbi wa chuo kwa ajili ya harusi, kitchen party sijui kominia. Tafadhal taja na wewe hapa
Unataka kuharibu uzi kwa chuki zako,mi nimeuliza swali kwahyo kama hauna majibu tulia au uanzishe uzi wako.
 
Back
Top Bottom