Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,439 Oct 12, 2018 #1 Prince William accused of 'white saviour' mentality in Africa wildlife film
TUJITEGEMEE Platinum Member Joined Nov 6, 2010 Posts 27,686 Reaction score 28,802 Oct 13, 2018 #2 Alipewa Kamusi ya kiswahili...hilo lingetosha kumuelewesha kuwa, Utu kwanza wanyama baadaye!! ila ndiyo hivyo.
Alipewa Kamusi ya kiswahili...hilo lingetosha kumuelewesha kuwa, Utu kwanza wanyama baadaye!! ila ndiyo hivyo.
Baba lake Senior Member Joined Aug 11, 2018 Posts 170 Reaction score 215 Oct 13, 2018 #3 Hawa wazungu tunawaachia sana kisa ufadhiri wao wa fedha kwenye miradi ambayo sisi ndio tulipaswa kuwa mstari wa mbele na ndio maana wanaongea na kufanya wanachojua wao.
Hawa wazungu tunawaachia sana kisa ufadhiri wao wa fedha kwenye miradi ambayo sisi ndio tulipaswa kuwa mstari wa mbele na ndio maana wanaongea na kufanya wanachojua wao.