Prince Charlesa litembelea Mirpur huko India wakati wa tetemeko la ardhi.Akakutana na mtu wamefanana sana kama pacha wake,akashtuka na kushangaa. Kwa heshima na taadhima Prince Charlesa:-Mama yako aliwahi kuishi au kuja Uk miaka ya 1947? Jamaa:-Hapana lakini baba yangu alikua dereva wa Buckingham Palace miaka ya 1947