Prime power (t)ltd

Mostly wanadeal na telecommunication hasahasa installation ya telecommunication equipments.
 
Though yawezekana wakawa wamekuitia kwa nafasi ya uhasibu, HR, Marketing but nature ya kampuni ni kwamba inadeal na installation ya telecom equipments mostly radio/links na BTS za Erricson, All the best katika hiyo interview.
 
Watakuitaje kwenye interview bila kuomba kazi?
 
Watakuitaje kwenye interview bila kuomba kazi?

Umemuuliza kama aliomba au la?
Au inawezekana kweli mtu baki tu from nowhere akaitwa kwenye interview pasipo kufanya application?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Umemuuliza kama aliomba au la?
Au inawezekana kweli mtu baki tu from nowhere akaitwa kwenye interview pasipo kufanya application?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

noo''niliomba hr''je maswali wanavyo uliza mnayapata''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…