Ukombozi gani Uganda? The Ugandans were fine under Amin. Only Nyerere did not like him for personal reasons (his friend). He supported the rebels and Amin had to react like anyone would.
That's the most stupid war Tanzanians died for, and since, Tanzania has not recovered.
Go to Uganda today and ask who would they prefer Amin or Museveni? Ugandans can join in this. Please educate this Bongoman who seems to have swallowed his country's propaganda bait,line and sinker! (Or as they say)
Wakenya wengine mawazo yao bwana! Mtu unakuwa na guts za kusema eti
"The Ugandans were fine under Amin"!!! wewe unafikili dunia itakuelewa kweli kuhusu unfortunate remarks zako hizo? hebu kahazime DVD ya
The last King of Scotland ndiyo utajuwa siyo kweli unaposema eti "The Ugandans were fine under Amin" na actually aliye andika script ya kanda hiyo ali-water-down sana ukatili wa Iddi Amini kwa RAIA wake.
Labda nikuhulize swali: Kwa nini jeshi lenu limehamua kuivamia Somalia-neseme eventually, jibu utakalo pata hapo nadhani hutakuwa na
ubavu wa kuzungumzia mambo ya
AMINI tena. Waganda hawana muda wa kulumbana na
Watanzania kwa kuwa wanajuwa tulivyo wakomboa kutoka makucha ya nduli, nyinyi ndio wenye
usongo na nchi yetu mnatumia
social network yetu kwa
malengo maalumu mnafikili
hatuna akili, mbona Waganda awako hivyo! Wakenya wanakuwa na
USONGO na nchi yetu as if
TANZANIA iliwahi kuvamia Kenya vile, kwa nini?
Mimi nazaliwa mpakani mwa
Uganda na
TANZANIA najua kuzungumza Lunyankole, Luganda hata Kinyarwanda nakielewa - in short najuwa kilichokuwa kinaendelea wakati wa enzi za
AMINI, wewe uwezi kutoka Kenya na kutupa somo kuhusu vita vya Uganda, mtu umekasilika as if Kenya ili-contribute chochote katika vita hiyo, kwani vita hivyo viliathili vipi uchumi wa nchi yenu; kuna makosa madogo madogo tuliyo fanya kwa mfano: hapakuwepo na haja ya kupigana mpaka kwenye mipaka ya SUDAN, au kuendelea kukaa Uganda unneccessarily!
Please soma mada inazungumzia nini, labda nikukumbushe inasema hivi:
Pride ya Tanzania katika Afrika, nini kifanyike? tusijaribu ku-derail mada hapa. Mimi nakushauri kama huna cha kuchangia katika mada hii, please wachie wenye cha kuzungumza watujuze.