Vizuri mno.
Yani kwenye ile series kila mtu ni sterling kwa nafasi yake.
Hadi leo nimeshindwa kujua main character ni nani.
Nampenda kila mtu kwenye ile series.
Makavu ya Harvey.
Upuuzi wa Litt
Loyality ya Donna
Caring ya Rachel.
Super & strong woman Jessica.
Ujanja wa Mike.