Preta, Preta, Preta. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Preta, Preta, Preta.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kurzweil, Jul 17, 2012.

 1. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,873
  Likes Received: 4,715
  Trophy Points: 280
  Habari zenu wana MMU na JF kwa ujumla. Leo nimeamua kutoa dukuduku langu ni kuhusu huyu mwanadada Preta. Kila nikitaka kumPM naanza vizuri lakini nikifika katikati najikuta nimeifuta msg na kuishia kugonga meza kwa hasira, hata nikikuta amepost kwenye thread hapo ndo kabisaa nahama jukwaa. Sasa najiuliza ni kwa namna gani nitaweza kutalk nae? Kitu pekee nilichofanikiwa ni kum add tu. Tafadhari Preta niPM basi tuongee mawili matatu. Nashindwa kuendelea. . . . .nawasilisha
   
 2. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Huogopi mke wa mtu?
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Mke wako huyo?
   
 4. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Pepo wa ngono, kama ni mke wa mtu ! acha hiyo tamaa,
   
 5. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Hayakuhuuuuuuu....ndo mana nannhii kakupiga chini ukaja kulia hapa.....hajambo lakini? Baby come back yenu lini au mpaka nimpige chini kwanza? Ujue nshamkinai?
   
 6. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Bamweleze.
   
 7. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,873
  Likes Received: 4,715
  Trophy Points: 280
  Jamani sijazungumzia ngono.
   
 8. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Bamweleze sijakuelewa ina maana gani! Bishanga abashaija- ogwo ni muka omushaija kiba kibila kitawa abahigi!!!! (watafusilie )
   
 9. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #9
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Hako kaugonjwa uliko nako kanaitwa Obsession...............
  Mara nyingi hakana matokeo mazuri, naomba uwatafute wataalamu wa saikolojia ya mahusiano wakusaidie.................
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Jul 17, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Mimi sijawahi kupigwa chini na shoree. Mi ndo huwa nawamwaga kwa kushindwa kukidhi vigezo na masharti.

  Kama yuko kwako who cares? Unakula makombo tu babu J. Na ukiendelea kuambukiza ukimwi watoto wa watu ntakuripoti kwa Kova.
   
 11. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Hata mie nimeshangaa!
   
 12. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #12
  Jul 17, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ungejua huyo ni Bibi mwenye wajukuu!!!.
   
 13. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,619
  Likes Received: 2,042
  Trophy Points: 280
  Naona umeshikwa na kigugumizi
   
 14. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ahh ukisha ona vile we wachana naye tu.
   
 15. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #15
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  kumbe tupo wengi. Ukipata dawa ya hilo tatizo mkuu tafadhali ni pm kwani kuna kifaa humu jf kinaniua
   
 16. Blessed

  Blessed JF-Expert Member

  #16
  Jul 17, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 2,488
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  pliz Madam Preta msikize mwenzo,pl!!!
   
 17. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #17
  Jul 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  shida ni nini.....hebu nielezee bayana lililopo moyoni.....
   
 18. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #18
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,211
  Likes Received: 8,272
  Trophy Points: 280
  nilidhani haya mambo yako FB tuu kumbe na huku pia..........
   
 19. felinda

  felinda JF-Expert Member

  #19
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 351
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  avatar yake imekuzuzua nini umeshamuona live lakini?...preta msikilize mwenzio amekufia
   
 20. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #20
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  Preta kokote ulipo tunaomba uwasiliane na huyu kijana.
   
Loading...