Pressure washer kwaajili ya car wash

Pressure washer kwaajili ya car wash

Yukwapi

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
493
Reaction score
623
Habari Wana JF

Nimejitafuta hvyo namtaji wa 10M ,malengo yakujikusanya yalikua nikufungua car wash

Naomba kufahamu mashine kampuni nzurii kwaajili ya biashara ya car wash isiyoharibika hovyo 🙏🙏
 
Mashine karibia zote zina changamoto kikubwa ni kuzingatia service mapema kama oil n.k
 
Back
Top Bottom