Press ya Jerry Muro ni press ya hovyo kuwahi kufanyika nchini

Ngengemkenilomolomo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
313
Reaction score
533
Wakuu

Nimesikiliza press ya Jerry muro nimelia sana yn ningekua ndugu yangu luka ningesema nimebubujikwa na machozi

Yani kanavoongea unaona kabisa kama njaa anafukuzia teuzi

Yan mtu kabsa unaitisha press kusema lazma umtetee mtu kwa sababu alikuteua?

Kwahiyo kukuteua tuu imetosha kumtetea?

Vipi wananchi uliowaongoza?

Kwakweli ndugu zangu wachaga mmeaibishwa na Muro

Puwa kabsa yani press yake ni puwa puwa very very

Eti utekaji ulikuepo tangu enzi za Nyerere,kwahyo unamaanisha ni sawa ukiendelea
Puwa😡🤬🤬
 
Jerry amekaa sana benchi hadi anamlazinisha kocha amuingize kiwanjani wakati anachoongea mwenyewe hakielewi.Kama upuuzi kama huu ndiyo consideration kwenye uteuzi, Taifa letu limeoza na kuna njaa kali mpaka funza wanaoza
 
Yn=yaani
Yan=yaani
Sabab=sababu
Kabsa=kabisa
Puwa=poor
Kwhy=kwa hiyo
Kwakwel=kwa kweli
Una haki ya kulia mkuu na nina uhakika umemuelewa zaidi.
Lakini unataka na sisi tulie bila kushare nasi hiyo press ya Muro?
Ungeweka kavideo hapa ili tulie wote.
 
Ungeweka kavideo hapa ili tulie wote.yan

Yn=yaani
Yan=yaani
Sabab=sababu
Kabsa=kabisa
Puwa=poor
Kwhy=kwa hiyo
Kwakwel=kwa kweli
Una haki ya kulia mkuu na nina uhakika umemuelewa zaidi.
Lakini unataka na sisi tulie bila kushare nasi hiyo press ya Muro?
Ungeweka kavideo hapa ili tulie wote.
Saf sana dada angu
Naona umenielewa vyema kabsa😊
 
Wakuu

Nimesikiliza press ya Jerry muro nimelia sana yn ningekua ndugu yangu luka ningesema nimebubujikwa na machozi

Yani kanavoongea unaona kabisa kama njaa anafukuzia teuzi

Yan mtu kabsa unaitisha press kusema lazma umtetee mtu kwa sababu alikuteua?

Kwahiyo kukuteua tuu imetosha kumtetea?

Vipi wananchi uliowaongoza?

Kwakweli ndugu zangu wachaga mmeaibishwa na Muro

Puwa kabsa yani press yake ni puwa puwa very very

Eti utekaji ulikuepo tangu enzi za Nyerere,kwahyo unamaanisha ni sawa ukiendelea
Puwa😡🤬🤬
Yaani ni takataka kabisa
 
Ya kichawa zaid
 
Huyu si alivuliwa uDC
Kaenda vyombo vya habari kama nani
 
Wakuu

Nimesikiliza press ya Jerry muro nimelia sana yn ningekua ndugu yangu luka ningesema nimebubujikwa na machozi

Yani kanavoongea unaona kabisa kama njaa anafukuzia teuzi

Yan mtu kabsa unaitisha press kusema lazma umtetee mtu kwa sababu alikuteua?

Kwahiyo kukuteua tuu imetosha kumtetea?

Vipi wananchi uliowaongoza?

Kwakweli ndugu zangu wachaga mmeaibishwa na Muro

Puwa kabsa yani press yake ni puwa puwa very very

Eti utekaji ulikuepo tangu enzi za Nyerere,kwahyo unamaanisha ni sawa ukiendelea
Puwa😡🤬🤬
Huyo demu ana cheo gani?
 
Jerry ana haki ya kusimamia anachokiamini kama kila mtu mwingine alivyo na haki hiyo

Tuvumiliane
 
Watu wanatumia fursa ya kurudi mjini, wengine ni vichaa wala hawana hadhi ya kujadiliwa. Hakuna mtu mwenye akili, mwenye utu na aliyemuelewa vizuri Gwaji boy akampinga.

Hakukurupuka, alijipanga. Kama nchi yote inaogopa kutetea haki ya kuishi ya watu, na mtu mmoja kajitokeza kutetea hilo. Wanakuja watu wanampinga. Ombeeni hao watu, watoto wao wafanyiwe hayo. Muone watakavyokuja juu. Ni kichaa peke yake ataunga mkono, mauaji ya binadamu mwenzake.
 
Wakuu

Nimesikiliza press ya Jerry muro nimelia sana yn ningekua ndugu yangu luka ningesema nimebubujikwa na machozi

Yani kanavoongea unaona kabisa kama njaa anafukuzia teuzi

Yan mtu kabsa unaitisha press kusema lazma umtetee mtu kwa sababu alikuteua?

Kwahiyo kukuteua tuu imetosha kumtetea?

Vipi wananchi uliowaongoza?

Kwakweli ndugu zangu wachaga mmeaibishwa na Muro

Puwa kabsa yani press yake ni puwa puwa very very

Eti utekaji ulikuepo tangu enzi za Nyerere,kwahyo unamaanisha ni sawa ukiendelea
Puwa😡🤬🤬
Mashemeji zangu wachaga pls deny this guy, press nzima. Hakuna hoja aliyojibu
 
Njaaa ikipanda kichwani ni hatari kubwa kuliko covid 19
 
niliposikia tu "hata kama raisi wetu ni wa hovyo kiasi gani tunapaswa kumtii" nikajua hapa hakuna kazi
 
Wakuu

Nimesikiliza press ya Jerry muro nimelia sana yn ningekua ndugu yangu luka ningesema nimebubujikwa na machozi

Yani kanavoongea unaona kabisa kama njaa anafukuzia teuzi

Yan mtu kabsa unaitisha press kusema lazma umtetee mtu kwa sababu alikuteua?

Kwahiyo kukuteua tuu imetosha kumtetea?

Vipi wananchi uliowaongoza?

Kwakweli ndugu zangu wachaga mmeaibishwa na Muro

Puwa kabsa yani press yake ni puwa puwa very very

Eti utekaji ulikuepo tangu enzi za Nyerere,kwahyo unamaanisha ni sawa ukiendelea
Puwa😡🤬🤬
Wachagga wamekuwa wajinga hadi wanakera.

Nafuu Wakimbu wanajitambua
 
Back
Top Bottom