Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,521
- 14,000
Habari za Asubuhi Wakuu,
Taarifa kutoka TRA zinazosambaa mitandaoni kuhusu kutoa ufafanuzi kuhusu VAT je ni za kweli?
Mwenye taarifa za kweli atuambie.
Bandiko lenyewe hili hapa.[/QUOTE
18% ya 10,000 ni 1,800 na 1,000 ni 180,nilitolea mfano,na hata ukitoa kwa Mara moja au kidogo kidogo mwisho wa siku jumla ya vat itakuwa ni ile ile,kimahesabu.hujanielewa ukitoa 10,000 utakatwa 180; lakini ukitoa 2500 mara nne utakatwa 720
Kama charge ni ile ile kwa kila transaction upo sahihi.hujanielewa ukitoa 10,000 utakatwa 180; lakini ukitoa 2500 mara nne utakatwa 720
18% ya 10,000 ni 1,800 na 1,000 ni 180,nilitolea mfano,na hata ukitoa kwa Mara moja au kidogo kidogo mwisho wa siku jumla ya vat itakuwa ni ile ile,kimahesabu.
Mbona Taarifa na Mfano Haviendani?Ama nimesoma kinyumenyume?!
na isingeitwa VATKwa maelezo hayo bado mzigo unabaki kwa mteja,bank wao wanabakia salama na hizo gharama zinalipwa na mteja,Kama ingekuwa inakatwa kwa bank basi katika 1000 TRA ingechukua 180 yake na bank ingebakiwa na 820 na kusingekuwa na effect yoyote kwa mteja.
NA HILI NDIO KABISAA.INAONESHA SIASA ZIMETAWALA MPAKA TRA*Updates*
Inaelekea hili bandiko sio official release from TRA kwasababu ukienda kwenye website ya TRA wameweka maelezo tofauti na hili.
Hili ndo tangazo official from TRA's website
Wanaweka mazingira ya kupiga chenga, hukawii kusiki "wametunukuu vibaya"hakuna tangazo la kiswahili au walipa kodi wengi wanajua ngeli
mkuu hii nchi ndivyo ilivyo, kumbuka ata TCRA walitwambia local channel ni bure, leo vp?Mbona walitudnganya kama tozo ni shs.1,000 basi kwenye hiyo tozo mteja hatatozwa chochote ila tozo itaelekezwa kwa Benki husika kwa kulipa vat ya 18%. Kwa mfano kama mteja akitozwa Tshs.1,000 basi Tra watakata vat ya 18% ya hiyo Tshs.1,000 na Benki husika ndo itawajibika kulipa na siyo mteja. Leo hii wanakuja na hadithi nyingine kuwa malipo ya vat 18% atatozwa mteja na siyo Benki. Aibu sana kwa TRA.
NO. VAT inatozwa kwenye bank charges na siyo kiwango unachotoa. Mathalan kama Mshahara wako ni 500,000 na bank charges in TZS 1000 kwa kila ankara ina maana ukitoa laki tano yote kwa mkupuo mmoja utalipa 1000 + VAT 180=1180. Lakini ukitoa mara tano yaani 100,000 X 5; gharama za bank charges + VAT zitakuwa 5 X (1000 + VAT 180) = 5,90018% ya 10,000 ni 1,800 na 1,000 ni 180,nilitolea mfano,na hata ukitoa kwa Mara moja au kidogo kidogo mwisho wa siku jumla ya vat itakuwa ni ile ile,kimahesabu.
Mkuu ulicho kisema ni sahihi kabis. Mteja hapo ndiye kabeba kila kitu.Mkuu na Job K mko sahihi. Yaani TRA kwa sasa wamepita mle mle walimokuwa bank na financial institutions zingine kwamba 18% iliyopewa jina la VAT zitabebwa na mteja japo awali walidai zitabebwa na mtoa huduma. Hii ni aibu sana kwa TRA kwa kutoa ufafanuzi unaokinzana.
Kwa jinsi ilivyo hakuna kitakachokuja kubadilika juu ya gharama hizi ambazo kimsingi zimeshapitishwa rasmi japo kiaina kubebwa na mpokea huduma wakati wa kufanya miamala yake.