THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,748
- 15,088
Kwa dua zetu waislam inshallah hakitanyimwa
Ccm wazandiki wakubwa hawawezi kudhoofisha hili
nakubaliana na wewe Ritz katika hii kasha ya hawa watu. Allah alishatutahadharishs nao kwani siku zote huwa wanawaza mabaya na kashfa dhidi ya uislam. Allah alisha aahidi kuwadhalilisha maadui wa uislam. wajipime kwa firauniNdugu zangu Waislam hawa ndiyo Chadema wanataka muwaunge mkono wachukue dola, wasomeni wenyewe wanavyotoa kashfa kwenu.
Umeongea maneno meeengi sana,lakini nakujibu kwa ufupi sana,
kwamba nashukuru kwa wewe kukiri kwamba dini yako ni dini ya mkoloni,lakini ya kwangu mimi si ya mkoloni,
na sio mwafrika pekee anaeamini katika uislam,wapo hata wazungu wengi kila leo wanaingia katika uislam na hawajatawaliwa na waarabu kusema kwamba dini hiyo iliepelekwa enz hizo,na kwamba dini hiyo labda ilienezwa kwa upanga kama inavyosemwa
kahtaan atakuja kukupa vifungu katika bible ambavyo vilieditiwa ila kurahisha baishara hiyo haram,
so kwa mujibu wangu mimi,au wetu sisi uislam umekuja na vifungu kabisa vya kupiga marufuku biashara hiyo na sio kusapoti,so tuko proud na hilo
nashangaa sana kuona watu wanataka kuja na propaganda kwamba uislam ulihamasisha utumwa kwa kumuona mwarabu kuja kufanya biashara hiyo,uislam si uarabu,besides wapo waarabu wengi ambao si waislam,i mean wapo christians arabs na kadhalika,tembea utajionea
So,we love islam kwa kuwa ni dini pekee iliyosimama kidete kupinga uonevu na unyanyasi kama ule
big show tatizo lako unarukaruka sana, na hii siishangai sana kwa sababu ni kawaida ya elimu ya kukremu hasa pale krema anapokuwa ni a brainwashed useless chap.
kwa mwaafrika yoyote kuanza kushindana kuwa katika DiniKoloni zote ni ipi ya ukweli kuliko nyingine au ni ipi ina aya nzuri kuliko nyingine ni uzuzu wa kupindukia. vitu vya wanaume wenzio vyakuwashiani? si mubuni na nyie dini zenu kama wenzenu walivobuni! kha!!!!.
btw humo unamoongelea wewe ni ndani ya box la giza ambalo mimi nami nilikuwaga humo zamani lakini baada ya kutafakari na ku-critique kwa umakini nikatambua uzuzu niliokuwamo na kwa hivyo nkatoka mumo haraka sana. tatizo ni kuwa brainwashing ni mbaya kwa victim kiasi kwamba ni vigumu sana kwa victim kuweza ku-come back to her/his senses na inahitaji elimu ya kusoma na kuelimika kweli kweli na si hii ya kukusanya vyeti kama tufanyavyo waafrika wengi.
sasa kama big show unataka kuleta ile mambo ya ndani ya box ya....yesu Mungu yesu si mungu, mwamedi mtume wa mungu mwamedi si mtume wa mungu.....hayo kayabishanie huko kwenye mihadhara yenu huko viwanja vya jangwani au kidongo chekundu ndiko kuliko na mazuzu wenzako wa levo hiyo. Kwa hapa kwa magreat thinkers, na kwa sababu hukujibu hoja zangu za mwanzo, nakutaka sasa ujibu hoja zile, na, kwa aya yako hii ya sasa, nakuongezea hoja nyingi kuwa je ni kwa jinsi gani kuwamo kwa wazungu ndani ya DiniKoloni fulani kunaondoa laana ya Dinikoloni hiyo kwa waafrika? je ni ndani ya DiniKoloniIslam tu ndiko kulimo na wazungu? je ni ndani ya vitabu vya dinikoloniIslamu tu ndimo kunamopigwa vita utumwa? na ni kwa jinsi gani kuwa, maadam tu jambo linafanywa na kukubaliwa na mzungu basi jambo hilo ni sahihi kwa mwafrika? yaan mzungu ndo awe kipimo cha akili zetu, hata miaka 50 baada ya uhuru wa kujinasua toka mikononi mwa mkoloni mweupe? are we still that low? hii si kwamba ni khatar sana hasa ikizingatiwa kuwa wewe unajiita na kujinasibu kuwa ni mwafrika Great Thinker? kama mwafrika Great Thinker ndo wewe je huyo mwafrika asiye Thinker kabisa atakuweje kama si balaa na laana tu kwa mwafrika?
Lakini mwana big show, mwisho wa siku, when all is said and done, ni kwa nini waafrika tunatumia DiniKoloni kama kete ya mwisho na ya msingi kufanikisha malengo yetu ya kisiasa na kiuchumi kwa hasara na maumivu makubwa mno kwa waafrika wenzetu wa leo na kesho? hapa duniani tunapita lakini ni wazi kuwa dhambi hii tunayoifanya, hasira za waafrika wa karne zijazo juu ya MdiniKoloni kama bigshow, ritz nk ni wazi itakuwa mara elfu moja ya hasira tulizo nazo waafrika dhidi ya sultan Mangungo wa Msevero(afadhali yeye hakuwa na elimu) au huyu katili anayekwenda kwa jina la حمد بن محمد بن جمعة بن رجب بن محمد بن سعيد المرجبي kkyaani Hamad bin Muḥammad bin Jumah bin Rajab bin Muḥammad bin Sa‘īd al-Murghabī - Tippu Tip (afadhali huyu alikuwa mwarabu so kuwaua waafrika haishangazi sana, ndo kawaida yao anyway).
jibu hoja bigshow, vinginevyo kama umeishiwa nasepa zangu, nna ishu za maana za kufanya ikiwemo kupitia homework ya binti yangu. wewe binti zako endelea kuwalisha tu chuki kuwa hawana elimu kwa sababu ya padri slaa wa cdm, watakutana humo kwenye soko la ajira halafu jibu litapatikana tu. kwa sababu kwa akili zenu fup za kizuzu mkiwaona wachaga wamejaaa kila kona yenye shughuli za kijamii ni uzalishaji mnafikiri wameanza jana, wenzenu kumekucha mapema wale. sasa nyie endeleeni kufundisha watoto wenu ishu za kujilipua then matunda yake hao watoto wenu watayapa tu 20 years to come..
aya sasa, big show na mijizi nyenzako jibuni hoja.
nimepoteza muda wangu bure,kumbe nazungumza na chizi,
haya kwa heri mfikishie salaam boss wako slaa,mwambie nchi hii katu kamwe haiwez ongozwa na padre mwovu kama yeye
dini ya kikoloni ni ya kwako na umekiri,ya kwangu mimi sijaletewa na mkoloni,na haikuwahi kunifanya mtumwa hata siku moja
hayo kawafundishe watoto wako, mimi wa kwangu nawapeleka saint francis ambako na WadiniKoloniIslam wenzako wajanja wanawapeleka wa kwao huko pia, wanagonga buku, nguruwe kwa sana, halafu waleeeeee....wewe MdiniKoloniIslam zuzu endelea kuwafundisha wa kwako kuwa tippu tip hakuwaasi babu zako, tutajua tu huko mbele ya safari kwa sababu ukweli una tabia ya kuishi. kwa sasa nakuaga by by ila popote pale ntakapoona unatumia dinikoloni kuwagawa waafrika watanzania lazima ntakushukia kama mwewe hadi niku-de-brainwash totally.
sasa unakula nguruwe wakati bible yako imekataza?we pimbi kweli,
umshukie nani hata kuchamba hujui mwehu wewe,
af kwanin siku hizi mnaoa hadi mbwa??ushoga nyinyi,na mbwa pia mnawatamani??
laana sana nyinyi
chadema muache udini na ukabila wehu nyinyi
sasa unakula nguruwe wakati bible yako imekataza?we pimbi kweli,
umshukie nani hata kuchamba hujui mwehu wewe,
af kwanin siku hizi mnaoa hadi mbwa??ushoga nyinyi,na mbwa pia mnawatamani??
laana sana nyinyi
chadema muache udini na ukabila wehu nyinyi
teh teh, uzur hii ni JF, hunijui, skujui, hapa tunakupa tu vidonge vyako, kama imekuuma sana vaa bomu uilipue JF au imwagie JF tindikali. Mimi kazi yangu ni kukupa tu za uso :boxing:kila ntakapokuona unatumia DiniKoloni kuwafitinisha watanzania. itafika makhal utaelewa tu...mbafffuu sana wewe, umeniuz sana, mmmchxxxuuuu!!
Pimbi ni wewe mfuasi wa mbakaji
Wewe unacheza mimi sipo humu kuchokoza mtu wala kumbia hoja kama una ubavu kuitetea Chadema unakaribishwa.Ritz rafiki yng habari yako?
Mnanichokoza wenyewe kwa kuniita nikija mnashindwa kujadili hoja Zaidi na kuanza kuelekeza mashambulizi kwangu binafsi!
Teh teh teh teh teh
Mi siku hizi niko kwenye majukwaa lain kabisa, MMU, Sports, Dini/Imani. Ukipita huko lazima unikute nimejaa tele!
Huku kwenye jukwaa la siasa nimekua msomaji tu! Lkn mkiniita nakuja! Au pakitokea habari nikapendezwa kuchangia ntachangia!
sasa nakuudhi vipi ili hali nakuambia uache kula nguruwe bible yako imekataza..!!
au unapinga maandiko??
na siku hizi naskia mnaoa hadi mbwa,sasa kwanin mnaoa na kuolewa na mbwa??ushoga haujawatosha??
museveni shenzy kama nyinyi anaweka jela tuh,hatakim ujinga ujinga wenu
kama nakuuz ndio safi,waambie jamaa zako waache udini,ukanda na ukabila
ikulu waende hao??labda danguro lenu la ufipa lile wendawazim nyinyi
Karibu ACT tunataka siasa za safi bila fujo wala maandamano njooeni mtuonyeshe nini maana ya demokrasia
Kama itakavyokuwa kwa CDM.Hiki chama hakifiki hata Mwaka mmoja kitakuwa chali na baada ya 2015 lazima wagawane Mbao kwa Ugomvi wa Ruzuku.
hamtapata la maana kutangaza vita na uislam
tangazeni vita na ccm,na sio uislam wala waislam
kama mnatumia loopholes za ukristo na uchaga uliopo chadema kupeleka propaganda hizo kwa hao wenzenu,ni kwamba mnazid kuonesha rangi yenu wazi wazi
yani nyinyi mnachukua padre mzinz kisha mnasema yuko safi tumpe ikulu?
ikulu ni mahala patakatifu,wenye laana hawatakiwi pale
Wewe unacheza mimi sipo humu kuchokoza mtu wala kumbia hoja kama una ubavu kuitetea Chadema unakaribishwa.
chama cha ccm b,msijifanye hamkijui chama chenu mana nacho kinakuja na udini,ukabila na kila mbinu chafu mana ni mtoto wa ccm.