Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,453
Wakuu tunawaletea habari za moja kwa moja kutoka makao makuu chadema mkutano na waandishi wa habari, maandalizi yanaendelea hapa ukumbini makanda wanaeendelea kujongea.....stay tuned....
alisema itafanyika saa sita
alisema itafanyika saa sita
haraka ya nini mkuu
ndio kwanza saa 8:36 AM.acha kwanza watu wapate breakfast.
hahahahaha nimecheka sana!Saa nne mkuu,makamanda wanaweka mambo sawa hapa ukumbini mambo ya umeme yasilete hitilafu,naskia kuna vituo vya tv watatusha live....
Hapo ni kelele tu hakuna kingine,kesi ya msingi iko mahakamani inaendelea kesho!!
niko hapa airport mwanza nasubiri kubod naamini nitawahi hcho kikao pia nihudhurie kesi hyo kesho.
Wanataka ku-derail watu. Acheni kesi itoe majibu ya matatizo yetu
Hii ya Marando inasemekana ni uzushi, Tumaini Makene ametoa taarifa kupitia wall yake ya fesibuku.Dr mkumbo na mwigamba wamenyang'anywa uanachama na marando amerudisha kadi
Wakuu tunawaletea habari za moja kwa moja kutoka makao makuu chadema mkutano na waandishi wa habari, maandalizi yanaendelea hapa ukumbini makanda wanaeendelea kujongea.....stay tuned....
Mkuu umesahau Misukule Rangers hawapati mlo mpaka wasaini mtaa Ufipaharaka ya nini mkuu
ndio kwanza saa 8:36 AM.acha kwanza watu wapate breakfast.