jua kuwa zile za idara ya kilimo/section ya kilimo hawakupata watu wanaofaa hivyo wamewapatia un kuzitanganza global..mishahara mameneja wanaanza na dolla elfu saba kwenda juu kutegemea na experience.kwa taarifa zaida angalia www.jobs.undp.org

Nimeziona. Lakini sio kweli kuwa hawajapata watu wenye sifa, isipokuwa undp ndio wanatoa fedha Za kuendesha kitengo cha kilimo ktk hiyo PDB. Sasa hayo ndio madhara yake, maana wanaingilia hadi ya ndani. I stand to be corrected!