President Uhuru Vs President Magufuli

Hahahaha, unawatonesha vidonda wakenya, hawamtaki Uhuru hata kumuona, jambo linalofanya Uhuru kuendelea kubaki madarakani ni kwasababu ni mkikuyu, angekuwa kubila zingine, wakenya wangelikua wamingia barabarani kumfurusha huyo mlevi.
 
Tofauti ni nyingi kweli, hata kwenye ulinzi. Kuna mmoja ambaye anapambana kila siku na tishio la kigaidi dhidi yake na kuna mwingine ambaye anapambana kuwatishia upinzani kila uchao. Rais wa karne ya 21 Vs. Rais wa karne ya 18.
C-veHl8WsAEqR3Z.jpg
DnKisiiUhuru2804rz.jpg
pic-magufuli-jpg.533909
fb_img_1500545818469-jpg.546538
 
Kweli nimeamini uongozi Kenya ni kula. Bata Kwa kwenda mbele
Ndiyo maana wenyewe wanasema
PESA YA SERIKALI SIMALI YA UMMA
 
STUPIDITY AT ITS BEST.
Hahaha! :D Alafu hajacaption video yake
Uhuru akiwaaga, na kuwapa bendera ya Kenya timu ya Ting-Il Moo-do
walipoenda kuiwakilisha Kenya kule S.Korea. Timu ya Kenya iliporudi Kenya kutoka S.Korea, na medali tisa! Baada ya kushka nafasi ya pili duniani kwenye mchezo wa Tong-Il Moo-do.
 
Tofauti ni nyingi kweli, hata kwenye ulinzi. Kuna mmoja ambaye anapambana kila siku na tishio la kigaidi dhidi yake na kuna mwingine ambaye anapambana kuwatishia upinzani kila uchao. Rais wa karne ya 21 Vs. Rais wa karne ya 18.
C-veHl8WsAEqR3Z.jpg
DnKisiiUhuru2804rz.jpg
pic-magufuli-jpg.533909
fb_img_1500545818469-jpg.546538
Wakikuyu hao ndio wanaomkubatia, mkenya mwenye akili timamu na ambaye sio mkikuyu hawezi kumkambia mtu aliyeingiza nchi ktk matatizo makubwa kiasi hiki ilipofikia Kenya.
 
nomaaa

Unajua kwanza hapo ni wapi..lete ya magu ya usukumani basi
Wakikuyu hao ndio wanaomkubatia, mkenya mwenye akili timamu na ambaye sio mkikuyu hawezi kumkambia mtu aliyeingiza nchi ktk matatizo makubwa kiasi hiki ilipofikia Kenya.
 
Tofauti ni nyingi kweli, hata kwenye ulinzi. Kuna mmoja ambaye anapambana kila siku na tishio la kigaidi dhidi yake na kuna mwingine ambaye anapambana kuwatishia upinzani kila uchao. Rais wa karne ya 21 Vs. Rais wa karne ya 18.
C-veHl8WsAEqR3Z.jpg
DnKisiiUhuru2804rz.jpg
pic-magufuli-jpg.533909
fb_img_1500545818469-jpg.546538
Budaa, unaona hao walinzi wote wa JPM hapo, wako friendly Sana kwa raia wanaokuwa kwenye hafla/shughuli ambazo Rais yupo. Wanaheshimu protocol na viongozi wengine wa ngazi za chini.

Sasa hao wa Uhuru wanaochapa watu vibao unawaongelea vipi? Yule mbunge mwanamama hapo Kenya alichapwa makofi na kufurushwa nje ya mkutano na walinzi wake kisa nini?
 
Hahaha! :D Alafu hajacaption video yake Uhuru akiwaaga, na kuwapa bendera ya Kenya timu ya Ting-Il Moo-do
walipoenda kuiwakilisha Kenya kule S.Korea. Timu ya Kenya iliporudi Kenya kutoka S.Korea, na medali tisa! Baada ya kushka nafasi ya pili duniani kwenye mchezo wa Tong-Il Moo-do.
Alindwe kwa Kazi gani anayofanya?, au huko kuzunguka dunia "aimlessly" kwenda Jamaica kwa wavuta bangi?
 
Back
Top Bottom