President Uhuru Kenyatta presides over the official opening of the Small Arms Factory

Sasa si ni Mrusi huyo mmempaka rangi! Same thing unaniletea, nimekwambia leta jina na specs zake.
Huwa sipendi kupoteza muda wangu kureply comment zako kwa sababu una utapiamlo wa akili.

Tanzania haiwezi kuwa level moja na nchi zinazoteseka na njaa karne hii ya 21 hata baada ya kupata uhuru miaka karibu 60 iliyopita.

Hicho kifaru kimetengenezwa na Kampuni ya Nyumbu inayomilikiwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
 
Pambaff, jina na specs! Ka huwezi 🤐🤐🤐😁😁😁
 
Pambaff, jina na specs! Ka huwezi
Jina na specs upeleke wapi?

Unaifahamu Tanzania Automotive Technology Centre (TATC) iliyopo chini ya Jeshi?

Tanzania imekuwa ikiunda magari ya kijeshi miaka na miaka wewe endelea kuendekeza maneno mengi yaliyojaa pumba hapo.
 
OMG! 🤣 🤣 🤣 shirika la nyumbu halipeani majina kwa vifaa vyake ama? 🥴
 
mamba.PNG
 
Back
Top Bottom