Hilo la kutokukubalika ndiyo itakuwa kigezo kikuu kutokushinda uchaguzi ukiwa huru na haki.Baada ya kumalizana na kina January, Nape, Makamba, Kikwete na kufuatiwa na kujiuzulu kwa M/Mwenyekiti CCM Kinana ambao walikua msaada wake wakati wa uchaguzi..
Tumuulize FaizaFoxy na Malaria 2 kama kwenye utawala wa sharia mwanamke anaweza kuwa kiongozi au amiri jeshi??Sio kweli wakati wa Mtume Muhammad(SAW),walikuwako wanawake viongozi kam Bi Khadija,Bi Aisha,Fatma Zahrah.Wanaume wengi walikwenda kujifunza uidlamu kupitia wanawake hawa.Na vile vile Mtume Muhammad alifanyakazi,chini ya Bi Khadija,kabla ya kuwa mkeww na baada ya kuwa mkewe.Vile vile katika uislsmu mamake Yesu,,Maryam(Mariya),nimwanamke bora kuliko wanawake wote.
Kumbe ndiyo maana Polisi katika hili sakata la Mbeya target yao ilikuwa Tundu Lissu kwa vile wanajua mwili wake umejaa vyuma wakimkanyaga kanyaga watakuwa wamemaliza kile kiporo chao cha Dodoma.Baada ya kumalizana na kina January, Nape, Makamba, Kikwete na kufuatiwa na kujiuzulu kwa M/Mwenyekiti CCM Kinana ambao walikua msaada wake wakati wa uchaguz...
Umeqndika kitu Cha kufikirika, suala la mgombea na sifa za mgombea zipo kwenye Katiba, msajiri ni tone tu la maji baharini kwenye issue ya uchaguzi .Bado ana chance
Mfano,
Msajili kulazimisha vyama vyote vya siasa kuweka mgombea urais kutoka Zenj na lazima awe mwanamke...
..
MkuuBaada ya kumalizana na kina January, Nape, Makamba, Kikwete na kufuatiwa na kujiuzulu kwa M/Mwenyekiti CCM Kinana ambao walikua msaada wake wakati wa uchaguzi, msaada mkuu uliobaki kwake ni kulitumia jeshi la polisi kuwatisha wanaoonekana kuwa wapinzani wake waliobaki.
Kuna hofu kuu 3 zilizo mbele yake kwa sasa ambazo ni, 1. Tetesi ya Tundu Antipas Lissu kugombea, 2. Womanism(Gender) na 3. Nationalism (Origin).
Uhalisia; wanawake wengi huwa hawapendani watakuchekea usoni, wataambatana nawewe kwenye kampeni lkn ukifika wakati wa kuchagua watamchagua Mwanamme. Kwa mila na desturi za Mwafrika ni nadra sana kuongozwa na mwanamke, hili hata vitabu vya dini vimetamka wazi. Hiki kitakuwa kigezo muhimu hasa mpinzani wake akiwa Mwanamme.
Kitu kingine ambacho nakiona ni hofu kwake ni Origin yake (Mzanzibari), ukubali ukatae wakaazi wa Tanzania Bara (Tanganyika) ni wengi kuliko wa Zanzibar, hivyo wakati wa uchaguzi hiki kitakuwa kigezo kingine hasa mpinzani wake akitoka upande wa Bara.
Lissu kwa vyovyote vile atagombea ni threat nyingine. Drama zote zilizofanywa na polisi lengo sio kuwatisha wananchi bali ni kumtisha Lissu asigombee. Samia na CCM wanajua Lissu huwa hakopeshi watawajibu nini Lissu atakapowauliza kwanini kauza Bandari, kwa nini kauza Loliondo.
Tetesi tunazozipata mtandaoni kuwa kukubalika kwake ni chini ya 32% sio za kubeza ukizingatia hali halisi ya maisha waliyonayo wananchi walio wengi.
Sababu hizi ndizo zinamfanya Samia na CCM wawe na hofu ya uchaguzi.
Quinine, an independent thinker.
Kuna MunguHuu uzi wa kujifariji ila Mama Samia ni rais hadi 2030. Tumuombee uzima tu. Hakuna namna ambayo Mama Samia kama mgombea urais kupitia CCM akashindwa na Lissu au mgombea mwingine yeyote. Na CCM kumkataa mwenyekiti wao na rais ambaye bado yuko madarakani HAIWEZEKANI ndo maana CCM iliamua Rais ndo awe mwenyekiti pia. Kumletea figisu mwenyekiti ni jambo hatari zaidi kwa mwanaCCM endapo atagundulika.