President Paul Kagame did not attend International Conference on the Great Lakes Region (ICGLR)

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Kabila.jpg

(L-R) Democratic Republic of Congos President Joseph Kabila,President Yoweri Museveni, and Tanzanias President Jakaya Kikwete talk during the Great Lakes Summit

That meant that the central question of a neutral regional force to try to restore peace in eastern DR Congo remained unresolved.
The idea has been floated by leaders of the 11-member International Conference on the Great Lakes Region (ICGLR) but it has made little headway.
In a statement following Saturday's meeting, the ICGLR said only the force would be "deployed under the mandate of the African Union and the United Nations."
The ICGLR also called on regional defence ministers to reconvene quickly to work toward the "operationalization of the Neutral International Force within three months."
Attending the meeting, the third in two months, were DR Congo President Joseph Kabila, and his counterparts from Tanzania, Jakaya Kikwete, and South Sudan, Salva Kiir. Several regional leaders also turned up to the meeting, which was hosted by President Yoweri Museveni in Kampala.

President Paul Kagame did not attend. Rwanda was represented by its defence and foreign ministers.
Eastern DR Congo has been hit hard by a new rebellion by army defectors who formed a group called the M23. Their members are former fighters in an ethnic Tutsi rebel movement that had been integrated into the military under a 2009 peace deal
.

Fighting in the region has forced more than 220,000 people to flee their homes since April, and more than 57,000 others have fled to Rwanda and Uganda.
A new summit has been scheduled for next month.
 
Rais Kagame is not a kid nor was he born yesterday; he is by far smarter than the rest. By not attending the meeting he is sending a very clear message that he is not in full support of what is about to be formed nor is he ready to be driven by anybody. He is a full flagged head of state. The rest are trying to please the Mzungu that they are doing something to restore peace in DRC. Who doesn't know that the Wazungu are the main problem in DRC?
 
Sasa yeye kama ni smart kuliko wenzake kwa hiyo yuko upande gani? wa hao wazungu au unataka kutuambia nini?
 
yeye yupo kwaajili ya Rwanda na maslahi ya Rwanda na wanyarwanda. Watu kama akina Mseveni na kaka yake Saleh na Marehemu Brig. Kazini na Amama Mbabazi walivyoiba Congo, nani hajui, Kikwete na Gen. Mboma wanaissue gani na Kabila ni maslahi ya wakongo? Congo wanagombania nini zaidi ya utajiri?
 
kwahiyo yeye kagame anagombania ya wanyarwanda huko CONGO? hhahahahaha! usitufanye kama watoto wadogo kwani hatujui huyo rais wenu anatafuta nini CONGO? tatizo mnajifanya mnaakili kuliko wengine! na hiyo mentality itawagharimu sana!
 
Weee Kajembe mie sio mnyarwanda embu nitake radhi kimya kimya. Mie namkubali Kagame, sio mroho wa pesa kama wengine. Na wazungu hawampendi kwasababu ya misamamo yake sasa ili kumpata wanawatumia marais waoga kama huyu wa kwetu na marais maslahi kama mseven ambaye hataki kustaafu. Maskini Kabila yeye ni nembo tu watoa maamuzi ni wengine akiwemo Myahudi Kengo wa Dondo.
 
hahahahaha! umenichekesha sana kuhusu kabila!
 
Kweli kagame namkubali maana hata kama hakubaliani nao lakini angeamua kuja tu mradi apate allowance yake ya kusafiri..haoni wengine wanavyokula hela za walipa kodi...
 
..Kagame has lost credibility among fellow African heads of state.

..amekimbia huo mkutano kwasababu no one is ready kuamini uongo wake any more.

..kinachofuatia sasa ni Kagame kuwa isolated na Waafrika wenzake.

..wameanza SADC, sasa watafuatia AU, sijui huyu muuaji atakuwa mgeni wa nani.
 
Rais Kagame is not a kid nor was he born yesterday; he is by far smarter than the rest. By not attending the meeting he is sending a very clear message that he is not in full support of what is about to be formed nor is he ready to be driven by anybody. He is a full flagged head of state. The rest are trying to please the Mzungu that they are doing something to restore peace in DRC. Who doesn't know that the Wazungu are the main problem in DRC?

I would like to believe that other heads are not ****** too. Wahshenzi wanaokuja kubaka dada zetu na kupora mifugo yetu watabaki kwao kama hakuna atakayekuwa anawaua au kuwatishia. Naona kuwa muda wa Kagame kujibu kwa aliyofanya sasa umefika, just count months from now u will see what will happen to him.
 
Weee Kajembe mie sio mnyarwanda embu nitake radhi kimya kimya. Mie namkubali Kagame, sio mroho wa pesa kama wengine. Na wazungu hawampendi kwasababu ya misamamo yake sasa ili kumpata wanawatumia marais waoga kama huyu wa kwetu na marais maslahi kama mseven ambaye hataki kustaafu. Maskini Kabila yeye ni nembo tu watoa maamuzi ni wengine akiwemo Myahudi Kengo wa Dondo.
Kaa pembeni wewe huna points.
hivi Rwanda wana diamond mines? Do they have coltan?
Sasa inakuwaje wanauza hivyo vitu? ... It's obvious Rwanda wana-sponsor watutsi wa Congo against kabila. It's been proven not only by US, even Pakistani soldiers are saying that!!

kawadanganye wenzio huko, usituletee takataka hapa.
 
Beyond all I like President Kagame!!! Kazi anayoifanya Rwanda imefunika maka 50 ya uhuru wa nchi za Afrika mashariki!!!!!!!!
 
Weee Kajembe mie sio mnyarwanda embu nitake radhi kimya kimya. Mie namkubali Kagame, sio mroho wa pesa kama wengine. Na wazungu hawampendi kwasababu ya misamamo yake sasa ili kumpata wanawatumia marais waoga kama huyu wa kwetu na marais maslahi kama mseven ambaye hataki kustaafu. Maskini Kabila yeye ni nembo tu watoa maamuzi ni wengine akiwemo Myahudi Kengo wa Dondo.
Wewe humfahan kagame. Gakuna kiongozi africa aliyemsafi. The guy gas dirty hands as well. Sipo kusema ila wale wenzangu tunaojua kila intell we know.
 
kaa pembeni wewe huna points.
Hivi rwanda wana diamond mines? Do they have coltan?
Sasa inakuwaje wanauza hivyo vitu? ... It's obvious rwanda wana-sponsor watutsi wa congo against kabila. It's been proven not only by us, even pakistani soldiers are saying that!!

Kawadanganye wenzio huko, usituletee takataka hapa.

kuyachukua wageni ; kwanini asiyachukue mwafrika mwenzetu; akendeleza waafrika kama kagame, kabila hayamsaidii chochote achie wenye shida ilimuradi wawe wafrika
 
Back
Top Bottom