President Obama's uncle arrested in Massachussets | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

President Obama's uncle arrested in Massachussets

Discussion in 'International Forum' started by Indume Yene, Aug 30, 2011.

 1. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  An illegal immigrant from Kenya busted for drunken driving after nearly striking a cop car in Framingham is the uncle of President Obama, the Herald has learned.
  Obama Onyango told cops he wanted to "call the White House" after he was nabbed for OUI Aug. 24 after nearly plowing his SUV into a police cruiser. He was arraigned Thursday and was ordered held without bail because he was wanted on a federal immigration warrant, officials said.
  Mike Rogers, a spokesman for Cleveland immigration attorney Margaret Wong, who is representing Onyango, confirmed that the 67-year-old is the president's uncle. Wong is the same lawyer who represented the president's aunt, Zeituni Onyango, in her fight to win asylum last year.
  Reached at her apartment in a South Boston public housing complex today, Zeituni Onyango said of her brother's arrest: "Why don't you go to 1600 Pennsylvania Ave. in Washingon, D.C. and ask your president? Not me." She then hung up on a reporter.
  The White House also did not respond to a request for comment.
  Zeituni and Obama Onyango are brother and sister, Rogers told the Herald today.
  The two are the children of the president's grandfather, Hussein Onyango Obama, and his third wife, Sarah, according to the London Times.
  The Times also reported that Obama Onyango is the man referred to as "Uncle Omar" in the president's 1995 book, "Dreams from My Father." In the book, President Obama writes about his Uncle Omar as "the uncle who had left for America 25 years ago and had never come back."
  Sarah Obama is called "granny" by the president because she raised his father, Barack Obama Sr., whose mother was Hussein Obama's second wife, Akumu, the Times reported.

  Source: Boston Herald
   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,193
  Trophy Points: 280
  Hahahaha, they handed this onto Rush Limbaugh's hands like manna from above.
   
 3. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ingekuwa hapa kwetu Bongo, huyo polisi aliyemkamata angefungashiwa virago vyake siku hiyo hiyo bila mafao yake.
   
 4. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  These pple are just full of cheap shots.
   
 5. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2011
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  The 2012 fracas at its best.
   
 6. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Just imagine mkuu kama hawa watu they are after his uncles and aunts mbona hatusikii waandishi wakiwatafuta uncles and aunts upande wa mama yake BHO kuwauliza kama jamaa ni kweli alizaliwa Marekani????
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  do its funny kuna ile stereo types ya blacks community kuwa

  allways watakaokuangusha watakuwa ndugu zako.......kama inataka kuja hivi...
   
 8. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Not in America!!!!!!!!
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  not even in black Americans community ???????
   
 10. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #10
  Aug 30, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,218
  Trophy Points: 280
  Mtu anawezaje kuishi miaka yote hiyo bila Document.Si arudi tu kwao.Marekani sio Paradiso bwana.
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Aug 30, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Bwahahahahahaaaaaa....yeah...I'm sure his arrest was due to a vast right wing conspiracy to sully Obama's squeaky clean image and ultimately make him a one term president.

  Uncle Onyango wasn't drunk. He is just a victim of a right wing-tea party-Rush Limbaugh sponsored frame-up!
   
 12. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #12
  Aug 30, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,078
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Ni kweli tea party wanataka kumchafua lakini 25 years jamaa hata amnesty ya Reagan hakuipata?
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Aug 30, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  As if moveon.org hawakumchafua Bush au as if liberals huwaga ni malaika wasiocheza michezo michafu ya kuchafua wapinzani wao.

  Apart from politics...ile amnesty ilikuwa 1986 ambayo ni exactly 25 years to date. Sasa inategemea kama hiyo amnesty ilikuwa ni kwa mwaka wote huo wa '86 au ilikuwa ni kwa kipindi fulani tu na yeye anko Onyango kwa ulevi wake akapuuza au akachelewa ku file manake sidhani kama INS walikuwa wanakufuata wao na kukubembeleza ubadilishe status...

  Ila hii ya DUI ni yeye mwenyewe tu kajisababishia na msianze kumlaumu Rush Limbaugh au Sean Hannity.....lol. Labda mpwa atampa risala na kumsihi aache ulabu maana yeye mpwa ndo anachoreka zaidi.
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Aug 30, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Cheki mugshot ya uncle Onyango...teh teh teh....sasa najiuliza sijui alikuwa katoka kugida ulabu wa aina gani maana Marekani gongo hakuna!

  obamas uncle arrest-179264941_v2.grid-4x2.jpg

   
 15. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #15
  Aug 30, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,078
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Huwezi kabisa kulinganisha liberal networks na Faux news kwa mchezo mchafu

  Kweli Onyango kachemsha ila Limbaugh anaboaga sana yaani anachuki za wazi kabisa kwa watu weusi na hii itampa sababu ya kukanda weusi

  Basi inawezekana huyu jamaa ni mtungu sana mpaka anajisahau, ila wa K.E wanapenda sana hiyo kitu na nafikiri kama mtu atafanya ka survey kwa wafrika jamaa wataongoza kwa asilimia kubwa ya kuwa na DUI.
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Aug 30, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Wewe umeanza kumsikiliza Rush tokea lini? Manake nijuavyo mimi yeye hawapendi liberals. Sasa ikitokea wewe ni liberal halafu ukawa mweusi sitashangaa ukamuona Rush kuwa ni mbaguzi kwa sababu liberals wakishindwa hoja hukumbiliaga kucheza hiyo karata ya ubaguzi.

  Na kama unamsikiliza Rush tokea zamani, wakati Clinton yuko raisi Rush alikuwa hivyo hivyo alivyo leo dhidi ya Obama. Sasa sijui kwa vile Bill Clinton alikuwa ndo 'the first black president ndo maana Rush alikuwa critical sana...I dunno
   
 17. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #17
  Aug 30, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,078
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Sasa Rush ataongeaje mambo ya ubaguzi wakati anamsema Clinton?
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Aug 30, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo akimsema Obama ndo inakuwa ubaguzi?
   
 19. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #19
  Aug 30, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,078
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Sio hivyo jamaa hukanda weusi, ngoja nikutafutie clip uone mwenyewe...


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Aug 30, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Hii clip ya hao mapropagandist ambao mmoja wao alikuwa host kule MSNBC kabla hajawa replaced na permed Al Sharpton siwezi kuichukulia serious kihivyo.

  Licha ya hivyo, Rush hajakandia chochote hapo zaidi ya kueleza ukweli. Sasa kama ukweli ndo racism..oh well...so be it na watu wataamua kivyao. Mimi kwenye hii clip sijasikia chochote kilicho cha ubaguzi.

  Na kama kukandia mambo fulani fulani ya weusi ndo ubaguzi basi hata Bill Cosby ni mbaguzi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...