Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,846
...nasisitiza tena, mnaosubiria kuangalia hii kitu live huko bongo muwe na majenereta/ battery power inveters ready,...!
...Icadon hujatupostia mapicha ya jikoni, sijui umepotelea wapi, sijui nawe umeenda bize? naskia mtu akiwa huko kumpata inakuwa shughuli...
...hawa nao kwa mkwara, hili gari wana li-sterilize, au wamelitia ndani ya friji?