President Magufuli Tactics Threat to Democracy

Tanzania ilikuwa ina sifa nzuri sana Before
ilikuwa inasifika kama nchi ambayo imesaidia nchi nyingine kusini mwa jangwa la sahara
imesifika kama nchi yenye peace and stability (relatively)
Imesifika kama nchi iliyoweza kufanya smooth power transition(Though ni within one party)
ilisifika kama nchi ya watu wenye Upendo na kusikilizana
Umoja ulikuwa ngao yetu

Siku hizi naona kama haya mambo sivyo
Mungu aisaidie Mama Tanzania
Upendo na umoja urudi kati yetu
Roho mbaya za kimugabe zinazotaka kumea zisitamalaki kamwe
Hasira za kulikosa bomba la mafuta bado zinawaandama, fanyeni yenu tuacheni tufanye yetu mburukenge nyie
 
Hasira za kulikosa bomba la mafuta bado zinawaandama, fanyeni yenu tuacheni tufanye yetu mburukenge nyie
hahahaha.You think so...ndio tatizo la masikini.BTW sisiemu iliwaambia mkipata gesi mtwara mgao utakuwa historia..imekuwaje>?
 
You Kenyans should worry about your own issues. Until this moment I have not seen the so called democracy in Kenya. Mind your own business please
 
Back
Top Bottom