President Magufuli should know better and show some respect

You said it well, but who should come up with that strategy while the strategiest has spoken and so it shall be, you know exactly our atategiest never takes advice from any one, when he speaka its final, by the way, this is our time we Tanzanians to make a right decision for the coming ellection, do you think we can make any differences? Thats my question for sure
 
nilishwawahi kusema hapa

magufuli kupeleka watoto shule bure is oky
bur asipowalipa waalimu ni kazi bure hawa watoto watakauwa wajinga mara dufu walimu hawatawafundisha kitu chochote badala yake tutakuwa na taifa la wapumbafu .........

mtoto akiwa na njaa hatasikiliza lolote yaani hata shetani anaona aibu walimu hawana kitu mfukoni watoto hawana kitu tumboni

work done is == to bashite
 
Hana tabia ya kuelewa kinyume cha maagizo yake, utawala utampa nguvu, hasira, na kiburi kuzidi uwezo wa binadamu. Mungu tuu anajua, waache watoto wakae na njaa
 
Let us wait an see. The impact of the decisions and actions taken today will be felt in the next ten years.
Just measure up the impacts of the so called "shule za kata " so as to give you a clear picture of how worse the situation is going to be ..

everybody is happy about an increasing number of experts but their quality is still quistionable ..Our education system still lacks a lot of things especially the proper infrastructures for Teaching ..

Kuna kitu kwamba tumeongeza bajeti ya sekta ya elimu lakini ada zimefutwa yaani hapo ni sawa na kuongeza maji katika ndoo iliyotoboka afu tutarajie ujazo mzuri .. nimesoma hizo shule na hilo bomu linalopikwa litalipuka muda si mrefu sana
 
Maamuzi hayo madogo, ya mlonganzila?, maumivu ya vyeti feki, siyo kwa bashite?, Kununua wapinzani? Jengo kuvunjwa etc, Huku ni mungu mtu hamjamjua?
 
Kulipa waalimu ni jambo moja dogo san kama umeshawahi kupita katika hizi shule tena hata zisikumbue kabisaaaa ..

Bomu halisi ni quality ya waalimu wanaofundisha maana most of them ni generation ile ya kuchukua ualimu for job security and assurance of getting loans from heslb ..kutokana na waalimu wengi kuwa mtaani ,i think it was a perfect time to get competitive teachers through means that are used by the private school such as interview yaani process nzima iwe decentralized

Hamasa ndogo kwa waalimu kuanzia mishahara hadi makazi na pia wingi wa wanafunzi ambao hawawezi kuwasimamia..

Maabara na maktaba ya vitabu ..yaani hili ukipita katika mashule utalia na pengine ndio chanzo cha utamaduni hasi wa kujisomea ...

Vyakula na miundombinu ya michezo yaani duuhhh ...hata stadi za maisha tu ni aibu...

Education system inapumulia mashine af mtu anakuja kuona muarobaini ni kubadili grades na kutoa elimu bora ...
 
Teachers knows the situation much better than the POTUS,but few weeks ago teachers got a chance to speak with the president in their annual meeting but decided to stay mum on basic critical issues.The rich will get what they want but sorry for poor families.
 
Hivi kuna written policy ya elimu bure au ni maagizo tu. Kama hakuna hii ndo source ya matatizo
Kinachoendelea unafanya kile unachoona ni sawa leo ......... kama kuna makosa basi yatalekebeshwa mbeleni!!

Yaani kaaamua kuubeba Msalaba peke yake .... Hivyo sitegemei huko mbeleni watu kuwajibishwa kama akina Yona na Mramba kwa makosa ya serikali!!
 
Hana tabia ya kuelewa kinyume cha maagizo yake, utawala utampa nguvu, hasira, na kiburi kuzidi uwezo wa binadamu. Mungu tuu anajua, waache watoto wakae na njaa
baada ya muda aibu kuu itampata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…