Pamoja na propaganda niite za kitoto zinazoendeshwa na viongozi wa Tanzania pamoja na Baadhi ya watanzania dhidi ya Rais Paul kagame wa Rwanda kwa mtizamo wangu anaendelea kuwa Rais Bora barani Africa.
Ni rais pekee africa anaye weka mbele maslahi ya nchi yake kuliko kitu chochote. Kutokana na hiyo nia ya dhati amefanikiwa kwa kiasi fulani kupunguza saratani ya ukabila ndani ya Rwanda ndani ya miaka 20 tu. Si katika kuondoa ukabila tuu bali amefanikiwa kuboresha elimu na utoaji wa huduma za jamii hasa afya kwa kiwango kikubwa sana ukilinganisha na nchi yeyote ya Africa. Kwa aliyebahatika kwenda Rwanda kabla ya Kagame atakubaliana na mimi jinsi rais kagame alivyo fanikiwa kwenye miundo mbinu, barabara , njia za mawasiliano etc.
Kuna wanao sema mafanikio hayo yameletwa na pesa zinazopatikana kutokana na uporaji wa madini Congo, Je ni nchi gani yenye kiongozi mwenye akili na commited kuleta maendeleo nchini kwake na wananchi wake haipori utajiri toka nchi nyingine?? Kwani marekani ilienda Iraq kuwasaidia wa Iraq?? ama waingereza na wafaransa walienda afganstan kuwasaidia wale waarabu???Mnajua wanawake na watoto wangapi wanakufa majeshi ya marekani yanapokuwa yanaenda kutafuta resources kwenye nchi nyingine??? Kwani hii mikataba mibovu tunayo lalamikia kila siku ya madini na makampuni , serikari za nchi yanako toka makampuni haya hawajui tunaibiwa?? Ama mnadhani Obama alikuja Tanzania kwa sababu anatupenda sana Wa Tanzania?? Rais mwenye akili anaye wapenda wananchi wake na nchi yake will do whatever it takes to bring about prosperity to his/her country. Eti Tanzania tunaenda kupigana Congo kwaajili ya kuwasaidia...Nchi za kusini mwa jangwa la sahara hususan South africa, Msumbiji etc tulizo zisaidia kupata uhuru wa kweli zinatusaidia nini leo hii zaidi ya kutushukuru tuu???
Tanzania inahitaji Rais mwenye u dikteta kama kagame aje kubadilisha mindset za watanzania kama tunataka maendeleo ya kweli vinginevyo hizi ngonjera tunazoimba kila siku hazita tupeleka kokote...Mtu yeyote anaye jaribu kuvuruga kilichojengwa anawekwa za kichwa kama yule generali aliyeuwawa hivi majuzi...Kiongozi yeyote mwenye vision anafanya hivyo kwa mvuruga nchi yeyote....Bongo kituko wanauwawa watu ki majungu majungu..mwangosi etl
WATANZANIA MAJUNGU NA WIVU WA KIKE HAUTA TUFIKISHA POPOTE
Kagame ni muuaji na dikteta mkubwa. Bora tuendelee na JK wetu kwa vile ni mvumilivu na anheshimu utu wa watuWabongo Tunaamini Mungu ndio atatuletea maendeleo tunabaki kupiga majungu Kagame kaipeleka Rwanda inapotakiwa iwe kwa muda muafaka....!!!!!!
Sent from my iPhone in Stralis Cabin.
Wewe mkimbizi wa Rwanda ndio maana unamshadadia.Huyo Kagame hana adabu hawezi mtusi Rais wangu nikasema is my hero.Wewe ngoja ile operation irudi tena tunakubeba.Pamoja na propaganda niite za kitoto zinazoendeshwa na viongozi wa Tanzania pamoja na Baadhi ya watanzania dhidi ya Rais Paul kagame wa Rwanda kwa mtizamo wangu anaendelea kuwa Rais Bora barani Africa.
Ni rais pekee africa anaye weka mbele maslahi ya nchi yake kuliko kitu chochote. Kutokana na hiyo nia ya dhati amefanikiwa kwa kiasi fulani kupunguza saratani ya ukabila ndani ya Rwanda ndani ya miaka 20 tu. Si katika kuondoa ukabila tuu bali amefanikiwa kuboresha elimu na utoaji wa huduma za jamii hasa afya kwa kiwango kikubwa sana ukilinganisha na nchi yeyote ya Africa. Kwa aliyebahatika kwenda Rwanda kabla ya Kagame atakubaliana na mimi jinsi rais kagame alivyo fanikiwa kwenye miundo mbinu, barabara , njia za mawasiliano etc.
Kuna wanao sema mafanikio hayo yameletwa na pesa zinazopatikana kutokana na uporaji wa madini Congo, Je ni nchi gani yenye kiongozi mwenye akili na commited kuleta maendeleo nchini kwake na wananchi wake haipori utajiri toka nchi nyingine?? Kwani marekani ilienda Iraq kuwasaidia wa Iraq?? ama waingereza na wafaransa walienda afganstan kuwasaidia wale waarabu???Mnajua wanawake na watoto wangapi wanakufa majeshi ya marekani yanapokuwa yanaenda kutafuta resources kwenye nchi nyingine??? Kwani hii mikataba mibovu tunayo lalamikia kila siku ya madini na makampuni , serikari za nchi yanako toka makampuni haya hawajui tunaibiwa?? Ama mnadhani Obama alikuja Tanzania kwa sababu anatupenda sana Wa Tanzania?? Rais mwenye akili anaye wapenda wananchi wake na nchi yake will do whatever it takes to bring about prosperity to his/her country. Eti Tanzania tunaenda kupigana Congo kwaajili ya kuwasaidia...Nchi za kusini mwa jangwa la sahara hususan South africa, Msumbiji etc tulizo zisaidia kupata uhuru wa kweli zinatusaidia nini leo hii zaidi ya kutushukuru tuu???
Tanzania inahitaji Rais mwenye u dikteta kama kagame aje kubadilisha mindset za watanzania kama tunataka maendeleo ya kweli vinginevyo hizi ngonjera tunazoimba kila siku hazita tupeleka kokote...Mtu yeyote anaye jaribu kuvuruga kilichojengwa anawekwa za kichwa kama yule generali aliyeuwawa hivi majuzi...Kiongozi yeyote mwenye vision anafanya hivyo kwa mvuruga nchi yeyote....Bongo kituko wanauwawa watu ki majungu majungu..mwangosi etl
WATANZANIA MAJUNGU NA WIVU WA KIKE HAUTA TUFIKISHA POPOTE
Bila shaka umelewa gongo. Niambie maajabu yaliyopo Rwanda ambayo hayapo sehemu nyingine Afrika. Mahindi wanaagiza Goma, madini wanapata Goma, mbao wanapata goma tena kwa njia za primitive yaani plundering and looting. Ardhi yao imechoka ile mbaya. Maisha ya vijijini yamekiwa ya taabu. Magodoro na dawa za meno wanaagiza Dar, mafuta ya kula, magaei na kuendeshea mitambo yao wanapata Dar. nawashangaa sana wanaomsifia Kagame wakati hawajui hata hiyo Rwanda jinsi ilivyoNchi yetu ina shida hii!Kagamendiyo bora barani Afrika tukubali au tukatae.Angalieni anachokifanya kule Rwanda siyo mnakaa kusubiri kuusikia upuuzi kwa Wapuuzi kama akina General Kayumba,Usikute walitaka kufanya mambo yao ya KIFISADI katika baadhi ya miradi iliyoasisiwa na Kagame halafu wakashtukiwa ila wakawahi kukimbia nchi na ndiyo hao wanaoneza propaganda za uongo dhidi ya Kagame ili wavuruge kile Kagame anachojaribu kukijenga nchini Rwanda kwasababu ya ubinafsi na tamaa zao za utajiri.
Mkuu, hakika zile Dola 500,000 alizochanga Kagame zinafanya kazi. Tutaona mengi safari hii.Inavyoonekana wewe mleta mada ni mmojawapo wa wapiga majungu au umetumwa kama wengine.. Huwezi ukawa Mtanzania wa kuzaliwa ushabikie ujinga kama huu..
Ndio maana tunashindwa kukubali uraia wa nchi mbili kwa kuhofia watu kama nyie..
Hakika mkuu. Anatuharibia jukwaa letuKwa nini usiende kwenye jukwaa la wanyarwanda ukaposi huu utumbo wako?
Bila shaka umelewa gongo. Niambie maajabu yaliyopo Rwanda ambayo hayapo sehemu nyingine Afrika. Mahindi wanaagiza Goma, madini wanapata Goma, mbao wanapata goma tena kwa njia za primitive yaani plundering and looting. Ardhi yao imechoka ile mbaya. Maisha ya vijijini yamekiwa ya taabu. Magodoro na dawa za meno wanaagiza Dar, mafuta ya kula, magaei na kuendeshea mitambo yao wanapata Dar. nawashangaa sana wanaomsifia Kagame wakati hawajui hata hiyo Rwanda jinsi ilivyo
Kagame ni muuaji na dikteta mkubwa. Bora tuendelee na JK wetu kwa vile ni mvumilivu na anheshimu utu wa watu
Bila shaka wewe ndiye yule mbunge anae tajwa kua ni Informer wa Kagame na aliekwenda Kigali Kupitia Africa Kusini Bw. Peter Serugamba aka SERUKAMBA! napita tu bwn kichaa!
This is a breaking News to me...!