President Joyce Banda meets US military officers: Discuss Lake Malawi issues

President Joyce Banda meets US military officers: Discuss Lake Malawi issues

DALILI YA MVUA MAWINGU!!!

Hii si habari njema kabisa. Hawa Wamarekani ndio wauzaji wakuu wa silaha na wapiganishaji vita vyote Duniani, hususan wanapokuwa na maslahi ya kiuchumi. Wanapopiganisha vita wanauza silaha, wanauza ujuzi (consultancy) na wanakuwa ndumilakuwili. Kwa ufupi watavuna pande zote mbili. Bila kusahau kule kusini ndipo inapopatikana Uranium. Kwa wenye kutafakari mambo basi hii si bishara njema asilani.
 
Vita ni mbaya sana, ninaogopa sana vita.
Ndio maana ninapenda sana siasa kwa kuwa ni nzuri sana.

kwa hali ya uchumi ya malawi ya sasa hawawezi thubutu kurusha hata bomu. Nna ndugu yangu alikuwa huko siku chache zilizopita anakwambia maisha kule yako juu na wananchi wanaumia tu. Chumba cha kulala chenye thamani sawa na laki kule kiko kama vyumba vya short time vya sinza. Tv iliyomo unaangalia channel moja tu mbc. Wafanyabiashara wakiona wageni ndo furaha yao kwani hamtakuwa mnabana matumizi kama raia wenyeji. Yule mama anatishia nyau, anataka kutuonesha kwamba marafiki zake ni wenye nguvu tu. Hata wao wanajua, hawatathubutu kumsaidia kwani wanajua upande wa pili wa dunia utakuwa tz na kuleta uhasama wa kidunia. Hiyo eac wengi wao ni watafutaji wa ardhi tu, ngoja tubadili sera iwape umiliki wananche na izuie kuuzia wageni uone kama wapo watakaoendelea kuongelea eac.
 
dawa ya mama Banda ni kumwambia wazi kuwa hatupigani ng'o! wazungu hapo mikono inawasha kuuza silaha na kuchochea vurugu, tizama wanakomba madini kule Congo kama vile hakuna vita...wanataka kucontrol mafuta ya nyasa kwa kuwanunua viongozi kutumia silaha, halafu baada ya hapo watutafune kisawasawa, na hawa maraisi wetu wapo busy sidhani kama hata wana muda wa kusoma kinachoendelea.
 
kwa hali ya uchumi ya malawi ya sasa hawawezi thubutu kurusha hata bomu. Nna ndugu yangu alikuwa huko siku chache zilizopita anakwambia maisha kule yako juu na wananchi wanaumia tu. Chumba cha kulala chenye thamani sawa na laki kule kiko kama vyumba vya short time vya sinza. Tv iliyomo unaangalia channel moja tu mbc. Wafanyabiashara wakiona wageni ndo furaha yao kwani hamtakuwa mnabana matumizi kama raia wenyeji. Yule mama anatishia nyau, anataka kutuonesha kwamba marafiki zake ni wenye nguvu tu. Hata wao wanajua, hawatathubutu kumsaidia kwani wanajua upande wa pili wa dunia utakuwa tz na kuleta uhasama wa kidunia. Hiyo eac wengi wao ni watafutaji wa ardhi tu, ngoja tubadili sera iwape umiliki wananche na izuie kuuzia wageni uone kama wapo watakaoendelea kuongelea eac.

ah! Je mmarekani akimpa silaha Joyce kwa ujira wa shea ya mafuta? nakwambia siku tukipigana na Malawi utashangaa jinsi tutakavyo angushiwa mabomu manene manene ambayo hatujawahi kuyaona hata kwenye movie! halafu baada ya hapo tutakaa ufukweni mwa ziwa na madonda yetu tukiangalia jinsi wazungu wanachimbua mafuta...chezeya marekani
 
This bigot woman haijui vizuri Tz....!! I swear....!!!

She doesn't know anything about Tz...!!! Tanzania is never played psychological war....!! mwache atuchezeee.... Chupi tutamvua.... mmaninazakekunduhuyu
 
Naona kaibukia CNN
 
president joyce banda on held can audience with united state of america (us) six military officer delegation at kamunzu palace.

Meeting taken 45 minutes

commentary us africa command said he was very happy to meet president banda and they discuss issues of mutual security

meeting the president that he had discussed with malawian military ,political official the lake malawi boarder dispute with tanzania

mdf ministry of defence , he explain malawi send 150 military official to ivort cost to bring peace and security

he explained that the us government is deeply involved in training military official malawi armed force coallition

source jb meets us military officers: Discuss lake malawi issue | malawi news, malawi - nyasatimes breaking online news source from malawi

hii inatufundisha kwamba wanawake hawana uwezo wa kuongoza taifa , ufalme nk
kwani ukiangalia historia ya binadamu tangu zamani ni wanaume ndio wameongoza
marekani ,hilary clinton alijaribu kushawishi wananchi wake aongoze eti kwakuwa alikuwa mke wa raisi akashindwa, uingereza toka imeongozwa na malkia elizabeth na victoria ushawishi wa uingereza duniani umeshuka sana zamani uingereza ilitawaliwa dunia ilikuwa superpower, japan waliweka sheria mwanamke hawezi kuongoza ufalme
huyu mama wa malawi badala ya kutatua matatizo ya kila siku ya wamalawi anajaribu kujipatia umaarufu kwa kuchokoza tanzania, hii ni tabia yao wanawake kuonyesha power halafu kufanya maamuzi bila kufikiria au kusikiliza ushauri .
 
Umemalizia post yako vizuri ila sikubalinai na ulivyoianza kwa kudharau wanawake. Ujerumani inaongozwa na mwanamke na unaifahamu ilivyo na nguvu za kiuchumi. Uingereza imekuwa inatawaliwa na mwanamke kwa zaidi ya miaka sitini sasa na bado uingereza ni taifa kubwa tu. Malkia Cleopatra wa huko Misri ndiye aliyesababisha Julius Caesar akabadilisha Calenda ya kirumi iliyokuwa na miezi kumi na tatu na kuleta kalenda hii ya miezi kumi na mbili iliyojulikana kama Julian. Waziri mkuu aliyeongoza Israel kupigana katika ile vita ya mwaka 1973 alikuwa ni mwanamke Golda Meir. Waziri Mkuu wa Uingereza aliyeongoza vita ya Falklands alikuwa ni mwanamke Margerth Thatcher
 
Linapokuja swala la mafuta! Wamarekani hawajali haki ipo wapi wataangalia maslahi yao kwanza..

Maslahi ya Marekani kwa sasa yapo kwenye ulinzi na Tanzania ina maslahi makubwa katika masuala ya ulinzi kuliko Malawi.
 
Back
Top Bottom